Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

Kwa mtu unayejiongeza hahitaji hata kujua kazi zao specifically ili kugundua kuwa wanafail au hawana meno.
Magufuli alikua analalamika sana jinsi tunavyoibiwa, jinsi watu walivyowazembe, jinsi mambo yalivyo - [Unashangaa Rais analalamika, nani anamsaidia sasa.hakuna watu wa kumsaidia???]
Mama Samia mwenyewe kuna muda anakuwa mkali, analalamika - KAMA MTOTO yatima vile
Cha ajabu magufuli nayeye alikua fisadi la kufa mtu
 
Cha ajabu magufuli nayeye alikua fisadi la kufa mtu
Fisadi mmoja si sawa na kuwa na mafisadi kila kona ya Nchi !
Akiwa mmoja tu haina shida tena tutamtaka akae pale mpaka atakapochoka mwenyewe ! Mradi awadhibiti mchwa wasilete madhara kwenye kaya !
Au nasema uongo ndugu zanguni ????!
 
Idara hii nayo ije ifumuliwe, ijengwe upya tu. Wakafanye case studues kwa wengine tuone wamefanya nini kutenganisha idara zao za usalama na wanasiasa.
Nchi zenye historia ya ujamaa.- Serikali ndo kitu cha kwanza then wananchi ndo wanafuata. So idara zinakuwa zinafanyakazi kulinda serikali zaidi kuliko wananchi.
Idara gani inaruhusu: mauaji, mikataba fake, wizi wa uchaguzi, uharibifu wa miundo mbinu, maonevu kwa watu - watu wanabambikiwa case, matumizi mabaya ya rasilimali za taifa mfano mtu anakamatwa Mbeya analetwa Dar na kurudishwa Mbeya then anaachiwa, miradi inakufa - SASA huo usalama unafanya nini jamani? Humu huwa wanatetea ohh..wao ni kutoa taarifa tu mengine hayawahusu.JAMANI kwa waswahili hawa....kama wanatoa taarifa na hazifanyiwi kazi basi kuna haja ya kubadirisha sheria ili ziwabane watu watii recommendations..
Tunasafari ndefu sana
Mkuu hapo kwenye case study ni muhim saana.Ila ukiangalia kwa makin kwa haya matukio ya kutekateka watakuwa wamefanya case study mahali.Watakuwa wanafanya case studies namna ya kuyafanya kwa ufanisi yale wayawazayo.Case study ya vyombo vya usalama walitakiwa kabla ya kuvuka mipaka ya nchi,wajifunze kwanza siri ya weledi wa JWTZ .Maana gap lilikopo kati ya JWTZ na idara zingne za ulinzi na usalama utadhani ni vyombo vinavyopatakina nchi mbili tofauti tena zisizo pakana.
 
Anyway ngoja tukubaliane na wewe hivyo hivyo. Lakini mimi sina chombo nachoakiamini .
Afrika is africa
 
Cha kusikitisha, eti nao wameshindwa kumdhibiti Kadogosa na mipango yake dhalimu ya kulihujumu taifa letu.

Uzalendo UKO wapi? Nahisi hiki kinachoendelea ni mlolongo wa uhalifu wa kimkakati unaohusisha mamlaka na watu wakubwa ndani ya serikali.
Ni network ndefu
 
Hata miaka 100 ijayo bado mtakuwa mnalia lia tu na hakuna lolote
Mnalalamika nchi inaliwa na hata mkipewa mahali bado mtapiga tu
Mnabadilishana tu
Hata huyu akiondoka atakuja mpaka mseme afadhili yule
Ndio mwenendo wa nchi masikini wa kifikra kila sehemu
Nigeria ina Vyuo vikuu zaidi ya 270 je wanakwama wapi
 
Hii nchi ukifatilia namna vitu vinavyoenda kwa undani kabisa utapata sana hasira. Watu wengi walio kwenye mamlaka hawana uelewa wala weledi kwenye wanachofanya
 
Hata miaka 100 ijayo bado mtakuwa mnalia lia tu na hakuna lolote
Mnalalamika nchi inaliwa na hata mkipewa mahali bado mtapiga tu
Mnabadilishana tu
Hata huyu akiondoka atakuja mpaka mseme afadhili yule
Ndio mwenendo wa nchi masikini wa kifikra kila sehemu
Nigeria ina Vyuo vikuu zaidi ya 270 je wanakwama wapi
Kwa hiyo mmetengeneza Mfumo wa kuharibu taifa kwa vizazi 300 vijavyo?
 
Huyo Masanja si aliwekwa hapo kizalendo na na JIWEe sababu kisa ya jina lake ni kutoka Kanda nyonyo hatujui alichaguliwa kwa criteria gani? Huwa nikiwaambia JIWE Ilikua ni LAANA na ndio maana Mungu akamfuta hamuamini haya Sasa ndo chanzo cha kina hao kina Kadoo na wabunge wa honvyo pale dodoma
 
Kwa hiyo mmetengeneza Mfumo wa kuharibu taifa kwa vizazi 300 vijavyo?
Mnatengeneza wenyewe kwani mtoto akianza kuiba kalamu shule na mwalimu kula lunch ya watoto hapo ndio mnatengeneza taifa bovu

Huyo mtoto anaeiba kalamu ndio atakuja kuwa mwenyekiti na hata Waziri
Mnatengeneza wenyewe huo mfumo toka nyumbani

Amkeni na muwalee watoto kwa nidhamu ya hali ya juu na maadili mema badala ya kulea wapenda kamari na ngono,majizi na wala rushwa
 
Anyway ngoja tukubaliane na wewe hivyo hivyo. Lakini mimi sina chombo nachoakiamini .
Afrika is africa
Pole sana mkuu kwa kuvunjika moyo kiasi hicho.Ila mi naona JWTZ ni chombo ambacho nchi nyingi za Africa znaweza kujifunz kwao.Mengne ni mapungufu ya wachache miongoni mwao na syo ya kimfumo kama ilivyp kwa idara zngne.
 
Back
Top Bottom