Idara hii nayo ije ifumuliwe, ijengwe upya tu. Wakafanye case studues kwa wengine tuone wamefanya nini kutenganisha idara zao za usalama na wanasiasa.
Nchi zenye historia ya ujamaa.- Serikali ndo kitu cha kwanza then wananchi ndo wanafuata. So idara zinakuwa zinafanyakazi kulinda serikali zaidi kuliko wananchi.
Idara gani inaruhusu: mauaji, mikataba fake, wizi wa uchaguzi, uharibifu wa miundo mbinu, maonevu kwa watu - watu wanabambikiwa case, matumizi mabaya ya rasilimali za taifa mfano mtu anakamatwa Mbeya analetwa Dar na kurudishwa Mbeya then anaachiwa, miradi inakufa - SASA huo usalama unafanya nini jamani? Humu huwa wanatetea ohh..wao ni kutoa taarifa tu mengine hayawahusu.JAMANI kwa waswahili hawa....kama wanatoa taarifa na hazifanyiwi kazi basi kuna haja ya kubadirisha sheria ili ziwabane watu watii recommendations..
Tunasafari ndefu sana