Kwa yanayoendelea nchini je, Watanzania tupo salama?

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu.

Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi leo ni zamu yako mimi siwezi kuingilia ni taifa la aina yake.

Leo napenda kuja na mada yenye kuuliza swali juu ya usalama wa taifa letu je, tupo salama?

Yes, katika jicho la wana usalama na wenye akili tupo salama ila ktk jicho la security intelligence uwenda Taifa lipo ktk kipindi hatari zaidi ila no one to comment 😑.

Matukio mbalimbali yanahosisha watu kutekwa watu wasiyojulikana soma hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Vipo viashiria vya kimya na vya wazi uwenda kama Taifa usalama wetu upo ktk kitisho ambacho hakikuwahi kuwepo toka kipindi cha Hayati baba wa Taifa.

Viashiria vya hatari zaidi niuwepo wa wimbi la mauwaji katika familia, upoteaji watu na matukio mabaya yakutisha katika jamii hizi ni red flags which need special eyes.

Kitisho kikubwa kabisa nilazima kushituka mara nyingine dalili kama hizi huusiana na drugs catel au makundi ya kidini ila katika taswira ya kisiasa this is fourth eye.

Nausiniulize kwa nini ila wana kidon wa Taifa hili wanaweza kunielewa.
 
Kwa kua hakuna mwana ccm yeyote aliyepotea na kwamba vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni mawakala na mali binafsi ya ccm bas ccm ipo salama ila taifa kama taifa tunashukuru kwa kua mtesi wetu hajatuua bado

Concern yako ni nini hasa? Ulipitia post toka mwanzo ama unatafuta mchumba?
Dada mimi wala sitafuti mchumba.

Ni hapo juu wewe umesema watesi hawajakuuwa ndo nikasema kumbe ni hadi uuliwe wewe ndo uamini kuwa watu wanauawa?
 
Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu.

Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi leo ni zamu yako mimi siwezi kuingilia ni taifa la aina yake.

Leo napenda kuja na mada yenye kuuliza swali juu ya usalama wa taifa letu je, tupo salama?

Yes, katika jicho la wana usalama na wenye akili tupo salama ila ktk jicho la security intelligence uwenda Taifa lipo ktk kipindi hatari zaidi ila no one to comment 😑.

Matukio mbalimbali yanahosisha watu kutekwa watu wasiyojulikana soma hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Vipo viashiria vya kimya na vya wazi uwenda kama Taifa usalama wetu upo ktk kitisho ambacho hakikuwahi kuwepo toka kipindi cha Hayati baba wa Taifa.

Viashiria vya hatari zaidi niuwepo wa wimbi la mauwaji katika familia, upoteaji watu na matukio mabaya yakutisha katika jamii hizi ni red flags which need special eyes.

Kitisho kikubwa kabisa nilazima kushituka mara nyingine dalili kama hizi huusiana na drugs catel au makundi ya kidini ila katika taswira ya kisiasa this is fourth eye.

Nausiniulize kwa nini ila wana kidon wa Taifa hili wanaweza kunielewa.
Kama wewe sio CCM hauko salama.

Kama wewe sio mzanzibari hauko salama pia.

Hiyo ndiyo hali tuliyoifikia.
 
Back
Top Bottom