Kwa yanayoendelea nchini je, Watanzania tupo salama?

Kwa yanayoendelea nchini je, Watanzania tupo salama?

Ngoja kwanza.

Hivi wewe jamaa si ulikuwa unashabikia KUUWAWA kwa Ben Saanane?

Naona member wa JF wamekusahau na kauli zako za kifedhuli.

Unabahati JF hakuna anayejali.
Hakushabikia!

Alimuonya kwamba atakutana na chatu USO kwa uso!

Alimwambia aache hicho anachokifanya la sivyo USO Kwa USO na chatu!!

Na kweli sijui alionana na nani hasa!
 
Hakushabikia!

Alimuonya kwamba atakutana na chatu USO kwa uso!

Alimwambia aache hicho anachokifanya la sivyo USO Kwa USO na chatu!!

Na kweli sijui alionana na nani hasa!
Ilikuwa ni dhahiri Ben alikuwa anawindwa na hao nguchiro.

Huyo jamaa wakujiita TumainiEL kwa kufahamu au kutofahamu alipenda kuona mabaya yanampata Ben Sanane.

Watu wanamna hii hawapaswi kuungwa mkunono au kuaminiwa.

Ujinga ni kuwa watu wanasahau haraka sana.
 
Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu.

Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi leo ni zamu yako mimi siwezi kuingilia ni taifa la aina yake.

Leo napenda kuja na mada yenye kuuliza swali juu ya usalama wa taifa letu je, tupo salama?

Yes, katika jicho la wana usalama na wenye akili tupo salama ila ktk jicho la security intelligence uwenda Taifa lipo ktk kipindi hatari zaidi ila no one to comment 😑.

Matukio mbalimbali yanahosisha watu kutekwa watu wasiyojulikana soma hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Vipo viashiria vya kimya na vya wazi uwenda kama Taifa usalama wetu upo ktk kitisho ambacho hakikuwahi kuwepo toka kipindi cha Hayati baba wa Taifa.

Viashiria vya hatari zaidi niuwepo wa wimbi la mauwaji katika familia, upoteaji watu na matukio mabaya yakutisha katika jamii hizi ni red flags which need special eyes.

Kitisho kikubwa kabisa nilazima kushituka mara nyingine dalili kama hizi huusiana na drugs catel au makundi ya kidini ila katika taswira ya kisiasa this is fourth eye.

Nausiniulize kwa nini ila wana kidon wa Taifa hili wanaweza kunielewa.
Mlianzisha hayo mambo akina TumainEl sasa wale chatu walishaonja nyama wanaendeleza tu pale mlipoishia.
 
Kama wewe sio CCM hauko salama.

Kama wewe sio mzanzibari hauko salama pia.

Hiyo ndiyo hali tuliyoifikia.
Naenda kuchukua Kadi na kuanzia sasa natembea na Bendera ya ccm na nembo yake kwenye shati.

Mzee tutaisha hivi hivi tunajiona.
 
Utawala wa mama wa kambo hautaki kukosolewa,kupingwa au kusemwa. Usalama wa taifa now ipo ikulu,they have a licence to catch, torture and kill Tanzanians bila impunity. Upuuzi kama huu ndiyo huwa unazaa uasi.
 
Pole sana, nadhani sasa tutaongea lugha moja!

Ben Saanane yupo wapi??

Ulipomwambia hatokuja kuandika humu tena ulifikiri waliokuwa wanakutuma watakuwepo madarakani milele?

Ndugu , jamaa , marafiki zako wamefikiwa au?

Mlikuwa subjective kutetea haki basi leo mnaona madhara ya fikra hasi kwa vyombo vya usalama kutumika kukandamiza raia.

Leo hii Ben Saanane hayupo na aliyeamuru apotezwe hayupo, mshindi nani?
 
Mlianzisha hayo mambo akina TumainEl sasa wale chatu walishaonja nyama wanaendeleza tu pale mlipoishia.
Yep.

Angalia hii halafu connect dots.

1. Legal immunity for secret service.

Hii ililetwa kimkakati na ninakuhakikishia hutosikia yoyote yule anakamatwa.

2. Secret service reporting directly to the president.

Ukiona wanaojiita wanausalama wana report kwa rais pekee fahamu mambo mengi machafu yatafanyika ile rais anafahamu au vinginevyo.

3. Kamatakamata wakosoaji wa serikali na muendelezo wa matukio yautekaji na mauaji.

Hii ndiyo lengo kuu. Wanasema watu wamekuwa watukutu na wanaongea sana. Na kama kawaida wanaojiita serikali watakanusha lakini ukikaa chini ukatuliza kichwa unagundua kamwe hawataongelea tatizo halisi na jinsi yakulitatua. Hali itaendelea hivyo ilimradi watu wanaendelea kukosoa.

Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya.
 
Pole sana, nadhani sasa tutaongea lugha moja!

Ben Saanane yupo wapi??

Ulipomwambia hatokuja kuandika humu tena ulifikiri waliokuwa wanakutuma watakuwepo madarakani milele?

Ndugu , jamaa , marafiki zako wamefikiwa au?

Mlikuwa subjective kutetea haki basi leo mnaona madhara ya fikra hasi kwa vyombo vya usalama kutumika kukandamiza raia.

Leo hii Ben Saanane hayupo na aliyeamuru apotezwe hayupo, mshindi nani?

Asante sana.

Mimi ninawaambia watu hapa JF wapimeni watu kwa kauli zao na msizisahau.

Huyu jamaa TumainiEL ni moja ya watu walioonyesha kwa uwazi kabisa wanaombea mabaya yamfike Ben.

Umesema vyema, waliomtuma pengine hawapo tena. Hafahamu miaka michache tu imepita alishiriki kwenye uovu uliomtokea Ben. Iwe alifanya hivi kwa ushabiki tu au kwakufahamu.

Sifa kuu ya watu wanamna hii ni kubadilika badilika kama kinyonga.
 
Back
Top Bottom