Texas Tiger
JF-Expert Member
- Nov 5, 2022
- 483
- 1,100
Ngoja yaanze kuwakuta viongozi na wanausalama wenyewe. Unakumbuka kule mkiru?
Askari walikuwa wanakula chuma. Usalama ni mhm bila kujali ni nani anateska wakati huo.
Ni wakina nani haoHatari ,hawa jamaa wanataka kuturudisha huko.
Hakushabikia!Ngoja kwanza.
Hivi wewe jamaa si ulikuwa unashabikia KUUWAWA kwa Ben Saanane?
Naona member wa JF wamekusahau na kauli zako za kifedhuli.
Unabahati JF hakuna anayejali.
Damu ya beni saa nane ilikuwa sana mpaka ikaja kulipaBen saanane yupo wapi ?
Damu ya mtu sio juice
Ilikuwa ni dhahiri Ben alikuwa anawindwa na hao nguchiro.Hakushabikia!
Alimuonya kwamba atakutana na chatu USO kwa uso!
Alimwambia aache hicho anachokifanya la sivyo USO Kwa USO na chatu!!
Na kweli sijui alionana na nani hasa!
Hawataacha bila kulipa kwa mikono yetuMungu atalipa
Mlianzisha hayo mambo akina TumainEl sasa wale chatu walishaonja nyama wanaendeleza tu pale mlipoishia.Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu.
Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi leo ni zamu yako mimi siwezi kuingilia ni taifa la aina yake.
Leo napenda kuja na mada yenye kuuliza swali juu ya usalama wa taifa letu je, tupo salama?
Yes, katika jicho la wana usalama na wenye akili tupo salama ila ktk jicho la security intelligence uwenda Taifa lipo ktk kipindi hatari zaidi ila no one to comment 😑.
Matukio mbalimbali yanahosisha watu kutekwa watu wasiyojulikana soma hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Vipo viashiria vya kimya na vya wazi uwenda kama Taifa usalama wetu upo ktk kitisho ambacho hakikuwahi kuwepo toka kipindi cha Hayati baba wa Taifa.
Viashiria vya hatari zaidi niuwepo wa wimbi la mauwaji katika familia, upoteaji watu na matukio mabaya yakutisha katika jamii hizi ni red flags which need special eyes.
Kitisho kikubwa kabisa nilazima kushituka mara nyingine dalili kama hizi huusiana na drugs catel au makundi ya kidini ila katika taswira ya kisiasa this is fourth eye.
Nausiniulize kwa nini ila wana kidon wa Taifa hili wanaweza kunielewa.
Naenda kuchukua Kadi na kuanzia sasa natembea na Bendera ya ccm na nembo yake kwenye shati.Kama wewe sio CCM hauko salama.
Kama wewe sio mzanzibari hauko salama pia.
Hiyo ndiyo hali tuliyoifikia.
We mzee mnafiki sanaDuh
Mabilionea kufa mfululizo mkoani Mbeya
Yep.Mlianzisha hayo mambo akina TumainEl sasa wale chatu walishaonja nyama wanaendeleza tu pale mlipoishia.
Pole sana, nadhani sasa tutaongea lugha moja!
Ben Saanane yupo wapi??
Ulipomwambia hatokuja kuandika humu tena ulifikiri waliokuwa wanakutuma watakuwepo madarakani milele?
Ndugu , jamaa , marafiki zako wamefikiwa au?
Mlikuwa subjective kutetea haki basi leo mnaona madhara ya fikra hasi kwa vyombo vya usalama kutumika kukandamiza raia.
Leo hii Ben Saanane hayupo na aliyeamuru apotezwe hayupo, mshindi nani?