MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
-
- #41
Kuna kitu kinaendelea ambacho sio kizuri. Na ikiendelea hivi hawa wahujumu wanaweza kufanikiwa hujuma zao. Mama atumie mkono wa chuma hata kidogo kwaYeye,alifikiri wata chakalika asa wanazingua makusudii....Kuna nongwa nahisi watu wanautaka. Uongozi ni kazi Sanaa mzee! Hususani wakijua ni Mpole.
Sasa yanaenda ?Huko angani hakuna shida kama mambo yanaenda Mkuu.
Kuna wapwa zetu Dp wedi au hawapo?Naaam
Swala la bandarini since mwezi wa 10 watu wamelia hata kama anahujumiwa hadi leo hajajua jinsi ya kuitatua hiyo hujuma, its almost 4 month
😅😅 unajua ameushusha uzi bila kuusoma i think, maana yake kuna watu aliwatag mwanzo wa uzi kabisa.Ha hàaaa Imebidi nicheke unamchanganya mleta Uzi...JANABI kasema tuachane na sukari na tuogope juisi
Huu ni uzi wa mambo ya kitaifa. Jitahidi usitoke nje ya reli.😅😅 unajua ameushusha uzi bila kuusoma i think, maana yake kuna watu aliwatag mwanzo wa uzi kabisa.
Nilipokutana na jina Dr janaba, nilijua atakuwa amewrong, ndo maana katika kureply nika change na kuweka Dr janabi, sasa alivyo rudi kusema tena wapi kaandika Dr janabi ndo akanivuruga kabisa 😂😂
Thus why nikasema anipe maelezo ya huyo huyo aliyemtaja mwanzo DR JANABA, sijui Dr wa wapi huyu Tanzania hii???? 😁😁😁
Naona jamaa kafanya kuedit kawatoa aliokuwa amewa mention.
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Yeye ndiye anayehujumu uchumi wa nchi tumeligundua hilo: hivi katika nchi maskinii hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kuvaa saa ya milioni 110?!!Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Ndiyo ujiulize sasaWhy atetewe?
Hawana majawabuAnahujumiwa wapi, ccm imeshafikia mwisho. Hilo tatizo la umeme ni kama haliwezekani. Mmeingizana mjini mmehongana bandari saa hii kinachoendelea hapo ni uozo kama wote. Muambie tu ajiandae kuiba kura maana ccm haina uwezo wa kushinda kihalali itakavyo tena nchi hii.
Hamnaga utaifa nyie majizi ya kura.Huu ni uzi wa mambo ya kitaifa. Jitahidi usitoke nje ya reli.
Nimekupata mkuu 🐻❄️Huu ni uzi wa mambo ya kitaifa. Jitahidi usitoke nje ya reli.
Hayaendi lakini sio sababu ya yeye kutokuwa angani.Sasa yanaenda ?
Sasa Mkuu mbona mada yenyewe hii ni utopolo? Yani unakuja hapa kusema Rais anahujumiwa na unasema ni mada kubwa?Basi huwezi elewa. Wewe endelea kufuatilia mambo ya udaku. Hii mada ni kubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri.
Ingependeza sana kama ungemalizia " Watendaji wake wakishindwa, Yeye ndiye KASHINDWA"Hakuna kauli inanikera kama hii, Rais anahujumiwa vipi?
Amiri Jeshi Mkuu wa nchi anahujumiwa? Yani kwamba kuna watu wana mamlaka juu ya Rais?
Haya ndio yale mambo ya “I wish I could be IGP” Ni kutokana na Rais kutokutambua nafasi yake.
Kwa yanayoendelea Rais hawezi kukwepa lawama, watendaji wake wakishindwa kazi yeye ndio mwenye mamlaka.
Nilitaka kusema hivyo, ugali wa uraiani bado nautaka Mkuu.Ingependeza sana kama ungemalizia " Watendaji wake wakishindwa, Yeye ndiye KASHINDWA"
Hapo Mkuu nimekuelewa. Haya matatizo kwa Watz siyo bahati mbaya, bali ni makusudi kabisa ili kutuondoa kwenye reli ya kudai Katiba Mpya iliyo bora.Mtaazunguka mbuyu mpaka miguu ididimie tumboni
Tupambane tupate Katiba mpyaa iliyo andikwa na WaTanzania wote....Tujiongoze wenyewe....