Hadi Bando? Hakika hii ni Nchi ya malalamiko 😁😁Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Wewe K huwa unakera kinyama. Unafanya CCM ionekane ina watu wajingaHadi Bando? Hakika hii ni Nchi ya malalamiko 😁😁
Hatua zimechukuliwa,Kuna mtu kalizwa kichwa huko Tanesco.
Pia Tanesco wametangaza kwamba siku yeyote kutoka Leo mgao utakoma.
Kuhusu Sukari Serikali Imetoa maelekezo kwamba wafanyabiashara waamua kuacha kuuza sukari au wauze Kwa bei iliyopo Ili Serikali ianze utaratibu Mpya.
Mbona wewe K unaboa na kuwa fala hivyo?Wewe K huwa unakera kinyama. Unafanya CCM ionekane ina watu wajinga
Kama umependa uongozi wake, usilalamike.Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Wewe faller kuna nyakati unakera balaa, hivi unatumia nini kufikiri?Mbona wewe K unaboa na kuwa fala hivyo?
View: https://www.instagram.com/p/C3pSX17KJpD/?igsh=MTBidjg1dnJ1OTFheg==
Acha shobo za kijinga wewe maku
View: https://www.instagram.com/reel/C3pwLQeCVDE/?igsh=Mmd5cTZ2ejY0Z2Zr
Vipi mkuu na wewe unalalamika?.kwani skiku hizi haupigi mwingi???Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Natumia kinyeo chakoWewe faller kuna nyakati unakera balaa, hivi unatumia nini kufikiri?
Hata Magufuli walisema anahujumiwaKama umependa uongozi wake, usilalamike.
Maana ndio uongozi wake unayafanya hayo yote uliyoyaandika.
Utetezi wa kusema anahujumiwa ulikuwa zamani kwa sasa hauna nafasi.
Una utapiamlo wa akili, hujitambui wallah, unachotetea nini wakati bimkubwa nchi imemshinda? Huwezi kusema anahujumiwa wakati hata capacity yake tu ndogo.Natumia kinyeo chako
Ingemshinda wewe nyumbu ungeoata fursa ya kuandamana kwa.kulindwa na Polisi?Una utapiamlo wa akili, hujitambui wallah, unachotetea nini wakati bimkubwa nchi imemshinda? Huwezi kusema anahujumiwa wakati hata capacity yake tu ndogo.
Yes! Alisema yeye Magufuli.Hata Magufuli walisema anahujumiwa
Umekosa hoja unaanza kuingizana violence mkuu? Endelea kutetea buku7 yako.Ingemshinda wewe nyumbu ungeoata fursa ya kuandamana kwa.kulindwa na Polisi?
Nchi ingemshinda wewe ungekuwa jnaingizwa dole mda huu
Shangaa hata wewe huko yanakotoka mema na kupewa iweje mabaya yawe ya wasaidizi.Kwanini mema yake, maovu ya wasaidizi wake?
Umekosa hoja unaanza kuingizana violence mkuu? Endelea kutetea buku7 yako.