Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichanganye MKE WANGU na hayo manung'ayembe unayoyazungumzia...MKE WANGU NI MKE WANGU,NI WANGU PEKEE..HATAKUJA KUWA WAKO AU WA YULE...MUNGU AMENIPA MKE MWEMA...
Yup, hamna kitu kama karma...Nilikuwa napenda nipate mda niitizame series ya BREAKING BAD na nimeikata yote nikaja gundua kuwa dunia haina usawa hata siku moja na hilo neno "karma" usije ukalitumia sana mana halina uhakika wowote.
Kikubwa ni kumtegemea Mungu akupe amani ya moyo.
DonatilaUshamkula mke wa mtu tayari...
Tupe kisa mkuu.Watu wana roho mbaya watu wabaya achana kabisa na kitu kinaitwa mke wa mtu unawezw kupoteza muelekeo wako wa maisha kwa sababu ya mke wa mtu unaweza kufa kabisa achana......
Najua siku hiz wake za watu ni maji ya mbeya ila usije kusubutu utakufa
👀mpambanaji wa Kweli it very pain.