Hao ndiyo wachezaji wa viwango.Hauko siriaz,na uko ndoto kabisa una kikosi bora cha ushindani ktk Africa.
mtaitisha press nyingi Sana kulalamikia kila kitu. Mkitoa droo mnalalamika, mkishinda goli moja mnalalamika as if kwamba nyie ni bora sana, au timu nyingine nao hawahitaji ushindi.
Ngoja Simba ashinde viporo vyake vyote aongoze ligi tuone km mtamtoa hapo.