Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Na usipopewa Penalty shurti Kususia ligi...Penalty ni part ya mpira kaka,
Ukifanya kosa unaadhibiwa
Huo ndio uanaume wa vyurani. ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na usipopewa Penalty shurti Kususia ligi...Penalty ni part ya mpira kaka,
Ukifanya kosa unaadhibiwa
Hao ndiyo wachezaji wa viwango.Hauko siriaz,na uko ndoto kabisa una kikosi bora cha ushindani ktk Africa.Wa viwango vizuri na bei nzuri, Mukoko , Kisindia , Ntabanzokiza, Yacuba, Moro,
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hao wachezaji wa kuokoteza na wengine mikataba ya miezi 6.Pesa imewekwa , ndio mana imesajiri wachezaji kigeni wengi
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app