Hata Al ahaly kipindi anatoa droo na Simba nje ndani mlisema mnaenda kumpiga nje ndani kisa kashindwa kumfunga Simba mbovu matokeo yake mkaenda kupakatwa huko Cairo.Mamelodi ana jina na sifa kubwa kuliko uhalisia wake uwanjani . Wiki zilizopita Tp mazembe tu hii iliyochoka imemtoa jasho dakika 180 mpaka akapewa penalty ndipo mamelodi akapata aggregate sare...
Hata Al ahaly kipindi anatoa droo na Simba nje ndani mlisema mnaenda kumpiga nje ndani kisa kashindwa kumfunga Simba mbovu matokeo yake mkaenda kupakatwa huko Cairo...
Kama ambavyo haukufutika kwa nyinyi kusema mtamfunga Al Ahaly kisa kadroo na Simba.Muda utaongea. Uzuri uzi huwa hazifutiki.
Amka utakunya kitandaniWiki mbili zilizopita nimeota Yanga wanacheza mechi kubwa sana na Manchester City na kufanikiwa kuwafunga. Niliona ushindi huo wa Yanga umekuwa gumzo kubwa duniani.
Kwa ndoto hiyo nilijua Yanga watapangwa na Mamelod. Ni mara chache sana mimi kuota ndoto za uongo, kwa hiyo nawaona Yanga wakiingia nusu fainali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mshatoka acheni kujifariji mijusi kafiri nyie
Dogo anawaambia mmepewa mlichoomba, lakini baada ya kupewa mpaka swaumu zimewaisha 😁Kuna wapenzi wa Simba wanaamini kwamba Yanga kupangwa na Mamelodi Sundowns hawatafika nusu Fainali. Kwangu mimi naona Mamelodi ni mwepesi kuliko Al Ahly. Kwenye hatua za mtoana Al Ahly anakuwaga wa moto kuliko kwenye magroup.
Simba ndiyo ana wakati mgumu kuliko Yanga. Yanga anavuka hatua hii na atafika mpaka fainali, sioni wa kumzuia.