chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,207
- 311
- Thread starter
-
- #21
Yeyote anaefanya kazi zaidi ya Masaa nane (tisa ikiwa ni pamoja na mda wa mapumziko) Masaa yote baada ya hapo yatakuwa ni Masaa ya ziada na yatalipiwa kama Masaa ya ziadaNimefanya kazi kwa mwaka mzima naingia saa1 asubuh natoka saa 12 au saa2 usiku silipwi Overtime sheria inasemaje?
Mbona sasa inasainiwa na mwajiri pekee mkataba si lazima pande zote mbili zi saini?Ni sehemu ya mkataba
Ndugu habari! Naomba msaada je hatua gani mwajiri anapaswa kuchukua juu ya mtumishi ambaye anatuhuma za kumuibia mwajiri kwa kugushi nyaraka za malipo? Aidha kesi bado kufunguliwa Ila iko police? Je akisitishiwa ajira ni wrong termination? Please help me with this.Wanajamvini wenzangu kwa yeyote mwenye shida na masuala ya sheria za kazi awe huru kuniuliza.
Karibuni!
Unfair termination ina ingredient mbiliNdugu habari! Naomba msaada je hatua gani mwajiri anapaswa kuchukua juu ya mtumishi ambaye anatuhuma za kumuibia mwajiri kwa kugushi nyaraka za malipo? Aidha kesi bado kufunguliwa Ila iko police? Je akisitishiwa ajira ni wrong termination? Please help me with this.
Miezi 12 na mbili na kuendelea hiyo ni compensation mara nyingi unakuta muajiriwa anamdai muajiriwa wake pesa zingine mfano mishahara ya miezi iliyopita na kadhalika ambayo kwa ujumla wake huwa Arrears na ndipo neno not substitute linatumika meaning compensation haizuii mtu kulipwa arrears zakeNaomba ufafanuzi katika ELRA 2004 kifungu cha 40 (1) &(2) kuhusu unfair termination. Compensation inayozungumziwa kifungu cha (2) ni miezi 12 tu au pamoja na mshahara yako tangia unafukuzwa hadi hukumu? Manake wanasema is not substitute to any other amounts! Hizo other amount ni pamoja na mshahara au yenyewe haihusiani?
Ndio wanaweza kufungua shauri na sababu ya wao kuchelewa kufungua shauri la kazi iwe ni hiyo jesi ya jinai ila anatakiwa kufunguliwa mashtaka sio IGP bali jeshi la polisiAsante kwa uzi huu. Kuna askari waliachishwa kazi miaka 3 iliyopita na walikua na kesi ya jinai na sasa wameshinda.Je wanawezaje kufungua shauri dhidi ya IGP kuomba ashinikizwe wardi kazini?
Pole sana kwa hayo yaliyokukuta ni kweli issue yeyote inayohusiana na mshahara mda wake wa madai ni siku 60 ila panapo sababu ya msingi mdai anaweza kuomba tume kufanya madai nje ya mudaNaomba kujua hili kisheria because nimeachishwa kazi sasa nahitaji kudai fidia zangu kupitia mahakama. Nilipoenda kwenye chama cha wafanyakazi ili kuanza process za kufungua mashtaka nilihitaji kudai muda wangu wa ziada sababu tangu nianze kazi huwa nafanya masaa 48 kwa week badala ya 45.
Sasa katibu wa chama ananipa tarifa kwamba overtime huwa inaisha ndani ya siku 60. Kisheria nahitaji kujua hilo? Pia kupatiwa usafiri, mimi binafsi nilikuwa natumia usafiri kwa gharama zangu ila sikuwahi kuhoji, je nina haki ya kudai fidia ya gharama zangu za usiku? Naomba kufahamu hilo!
Shukrani mkuu
Ukiwa na tuhuma fulani kazini, na ukasimamishwa kazi kupisha uchunguzi, je uchunguzi huo unachukua muda gani kisheria? Na je muda huo ukipata bila tume ya uchunguzi kufanya chochote wala kutoa maamuzi yoyote nini kifanyike au sheria inasemaje kuhusu hilo?Kuna mwenyewe swali juu ya masuala ya kazi