Asipomfahamu uteuzi wa mdada unakuwa batili?? Irrelevant questions!Huyo Dada unamfahamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asipomfahamu uteuzi wa mdada unakuwa batili?? Irrelevant questions!Huyo Dada unamfahamu?
Huyu mtoa mada sijui alipotelea wp?Mkuu,
Inapotokea Hakimu ametoa hukumu ya kuegemea upande anaoutaka, bila kujali ushahidi uliotolewa na mahidi muhimu, na hata katika mwenendo wa kesi hakunakiri kabisa na au alinakiri kitu ambacho mashhihidi wangu hawakuongea hivyo.
Hukumu anaitoa kwamba nimeshindwa kesi, nina nini cha kufanya?
Records zinazopewa uzito ni kumbukumbu alizonazo hakimu, hivyo hata rufaa watasoma nukuu zake. Ni nafuu gani hapo?