Nimenunua nyumba nyumba, aliyenuuzia alidai hati imepotea na badala yake akaileta hati ya kiapo ya mahakama kwamba hati nyumba imepotea, baada ya kuniuzia nyumba miezi mnne badae wkaja watu wa Benki na nyaraka zote kwamba nyumba ile iliwekwa bondi na wanataka kuiuza kwani mteja wao ametoroka na hajarejesha kwa muda sasa, wakati nafanya mawasiliano na yule bwana wakaja tena nikiwa safarini na kutangaza mnada kwa kuwa nilikuwa mbali nikaamua kuikomboa nyumba kwa kuinunua tena toka benki, sasa hapo nataka nimfungulie mashtaka yule jamaa, nipe ushauri mtaalam
Sent using
Jamii Forums mobile app