chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,207
- 311
- Thread starter
- #81
Asante kwa kunisaidia mkuuThe answer is yes
Read sect 28 (2) (a) -(d) of the Employment and labour Relation Act No 6/2004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kunisaidia mkuuThe answer is yes
Read sect 28 (2) (a) -(d) of the Employment and labour Relation Act No 6/2004
Kwa kosa la jina Mkuu mwajiri haruhusiwi kufanya chochote dhidi ya mwajiriwa mpaka pale kesi yake ya jina inakapofika tamati kama alifanya hivyo ili hali kesi haijafika tamati basi mwajiri alikosea iwe tu hakuwai kumshtaki mwajiriwa kosa la jina ndipo atakuwa hajakoseaMwana kwetu HAPA ,,inabd uweke maelezo ya kutosha ,kosa gan alipatikan nalo? Ndipo amelekezo yaje
Anapaswa afungue mgogoro wa kazi katika tume ya usuluhishi na maamuzi kudai kile anachoamini kwamba ni haki yake inayotokana na kutokufuata utaribu wa kuachishwa kaziNapenda kujua nini mtumishi afanye anapoachishwa kazi pasiposanabu za msingi na kutofuatwa taratibu hakupewa nauli wala stahiki zake zozote na mwajiri amekata rufaa HC?
Kwa kosa la jina Mkuu mwajiri haruhusiwi kufanya chochote dhidi ya mwajiriwa mpaka pale kesi yake ya jina inakapofika tamati kama alifanya hivyo ili hali kesi haijafika tamati basi mwajiri alikosea iwe tu hakuwai kumshtaki mwajiriwa kosa la jinai ndipo atakuwa hajakoseaJe sheria inasemaje mwajili kumtuhumu mwajiriwa kwa kesi ua jinai na kumfukuza kazi pasipokumfikisha mahakamani?
unaruhusiwa kama mikataba unayotaka kuingia haina mgongano wa maslai nikipata mda nitaiweka hiyo sheriaNimegoogle sijajiona na ndo maana nikaomba msaada Wa iko kipengele
Ni ndani ya siku 30 mda ukipita japo sio sheria huwa mlalamikaji anaweza akaandika barua kuhoji juu ya ucheleweshwajiChumvichumvi, ni muda gani unakubalika kisheria shauli lililo CMA kufikia kutolewa hukumu? Na kama shauri hilo limepita muda huo nini kinatakiwa kifanyike?
Inategemea na taasisi husika ya serekaliniMtu alieachishwa kazi kwa utoro serikalini anaajirika tena? kama ni ndiyo ni hatua zipi za kufuata??
A. Ndio kwenye sheria kuna kitu kinaitwa sick termination sasa inategemea umeumwa kwa mda ganiHabari mkuu, je kuna malipo yoyote anayoweza kupewa
a) mtu aliyeacha kazi kutokana na matatizo ya kiafya
b)mtu aliyeacha kazi kwasababu za kimasirahi
Kama alifuata taratibu za kukufukuza hyo kaz atakuwa hana u lazima wa kukupeleka mahakaman labda wewe mfanyakaz kama unaona maamuz au utaratibu uliotumika co sahhi waweza mfungulia kesi ya unfair termination,, lakn kama mfanyakaz kapatikan na kosa kuna uratatibu wa kushughulikia ndo maan kuna vikao vya kinidhamu navyo vinataratibu YAKE,ukikiuka taratibu moja tu BASI kikao au mchakato mzima unakuwa batiliJe sheria inasemaje mwajili kumtuhumu mwajiriwa kwa kesi ua jinai na kumfukuza kazi pasipokumfikisha mahakamani?
Atakate rufaa HC?? wakat kesi zote za ajira zinaanzia tume ya usuluhishi na uamuz?? Sema hvi kama umeachishwa kaz pasipo kufuata taratibu ,kama mfanyakaz anastahil haki zip?Napenda kujua nini mtumishi afanye anapoachishwa kazi pasiposanabu za msingi na kutofuatwa taratibu hakupewa nauli wala stahiki zake zozote na mwajiri amekata rufaa HC?
Kuongezea kifungu cha 37(5) cha sheria ya ajira na uhusiano kazn NA6/2004Kwa kosa la jina Mkuu mwajiri haruhusiwi kufanya chochote dhidi ya mwajiriwa mpaka pale kesi yake ya jina inakapofika tamati kama alifanya hivyo ili hali kesi haijafika tamati basi mwajiri alikosea iwe tu hakuwai kumshtaki mwajiriwa kosa la jina ndipo atakuwa hajakosea
Kiutaratibu na kisheria ni siku 30 lakn Ku naweza kukawa na makubaliano ya pande zote mbili kuongeza muda ,,kama kutakuwa na sababu za msngChumvichumvi, ni muda gani unakubalika kisheria shauli lililo CMA kufikia kutolewa hukumu? Na kama shauri hilo limepita muda huo nini kinatakiwa kifanyike?
AdditionalA. Ndio kwenye sheria kuna kitu kinaitwa sick termination sasa inategemea umeumwa kwa mda gani
B. Hapana sababu wewe ndio umeacha
Zingatia vipengele vya mkataba wako wa ajira
Shida inakuwa kwenye uthibitishaji wa hiyo ajira baada ya hapo kutokana na uthibitishaji ndipo nafuu pia hupatikana kwa mfano wewe unasema unazaidi y mwaka swali ni je kipindi cha majaribio kilikuwa ni cha mda gani na je ajira yako ilidhibitishwachumvichumvi kwa mfanyakazi anayefanya kazi na kampuni binafsi na hajapewa mkataba wa maandishi, na halipiwi huduma yoyote na kampuni zaidi ya mshahara anaopokea tena mkononi, siku huyu mwajiri akiamua kumwachisha kazi ni malipo gani anatakiwa kulipwa? ana mwaka 1 na zaidi kazini
probation ni miez mi3 ambayo ilishapita na kuhusu uthibitisho wa kutoka kwa mwajiri hakuna ila kuna documents za kampuni ambazo zina jina langu na sain zangu na mm ninazo,pia kuna kaz za online ambazo zimekuwa registered kwa jina langu na email yngu kwa ajil ya kampuni, so km mwajiri akinikana naeza tumia hzo au?Shida inakuwa kwenye uthibitishaji wa hiyo ajira baada ya hapo kutokana na uthibitishaji ndipo nafuu pia hupatikana kwa mfano wewe unasema unazaidi y mwaka swali ni je kipindi cha majaribio kilikuwa ni cha mda gani na je ajira yako ilidhibitishwa
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app