majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
- Thread starter
- #21
Yaan ishu ya mondi kuachana na bi tukinao inataka kufanywa kuuuuubwa wakati huku kitaa ni ishu za kawaida tu...
Wala haifanywi kubwa, tunajifunza kupitia wao waliokuwa wanajionyesha maisha yao hadharani. Hizo za kitaani hazikuwa mtandaoni kama hizi. Unafikiri ni jambo zuri kuanika mahusiano yako mtandaoni?