majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
- Thread starter
- #61
Wewe ulitaka kijana wetu aoe bibiView attachment 695980
Alimpenda mwenyewe. Wala hakuna aliyemshawishi. Leo ndio kamuona bibi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulitaka kijana wetu aoe bibiView attachment 695980
Basi poaHakuna hata cha kujifunza, kubwagana ni kawaida. Kwani alijua kumzalia mwanaume ndio kupendwa?
Utamzalia, utampa ndogo, utazungusha mauno kumwagwa kupo pale pale. Haina Guarantee hiyo, watajua wenyewe na mapenzi yao ya kwenye mitandao!
TUNAYAONA!Moja ya vitu vigumu sana kupatikana kwa sasa ni mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwa mwanaume mmoja, mwanamke anayejitegemea na asiyetegemea fadhila ya wanaume kuishi na zaidi mwanamke mwenye kuvumilia machungu kutoka kwa mwanaume.
Mtanisamehe sana dada zangu lakini kwa sasa zaidi ya 90% ya wanawake wa kitanzania wana price tags, yaani mtu akifika bei kwake hana neno na haijalishi ameolewa ama bado yupo yupo. Mtakubaliana na mimi kwenye hili kwa kufuatilia mtaani kwako tu na mambo yanayoendelea huko.
Kabla ya Diamond kukutana na Zari tayari alishakuwa na mahusiano na wanawake lukuki lakini katika hao hakuna aliyekuwa anamsaidia sana Diamond kwenda mbele. Wengi walimgeuza Danga. Hakuna Kati yao wote waliowahi kumuuliza “What exactly did he desire”
Zari gave Diamond sikio kitu ambacho hakuna mtu alimpa before. Diamond needed to be a father Zari amempa 2 kids, Zari had connections akampa zote Diamond, Zari hakuwa anaomba magari ya Diamond coz anayo mengi zaidi, Zari hakuwa anaomba pesa za Brazilian hair coz she could afford them Ila tu alihakikisha Diamond invests for his and his children future. As a man this is a woman to keep at all cost kwasababu she’s an asset.
Pamoja na umalaya wake bado Diamond anajua umuhimu wa Zari kwenye maendeleo yake na ndio maana aliwahi kusema yuko radhi kutembea kwa magoti mpaka Afrika kusini ili tu kumuomba radhi Zari.
Mwisho hili litakuwa pigo kubwa kwa Diamond kuliko Zari
ChaiHakuna aliye mkamilifu duniani zari alimwacha mumewe akakimbilia kwa Dai akidhani huko ndio kuna nafuu lazima tuelewe kila binadamu ana mapungufu ingawa yanatofautiana jifunze kutorudia kosa.
Kila mtenda hutendwa hili liko wazi ona Ivan alivyotendwa na kuumia alipoachwa na Zari leo zamu ya Zari kuumia tena ameumizwa zaidi maana amezalishwa na bado amebwagwa.
Hii haimpi Dai unafuu wowote lazima naye atatendwa na atadhalilishwa na kupelekwa mahakamani na guilty haitaisha moyoni mwake.
Matumizi ya mtandao, hili limekuwa janga sasa mtandaoni sio mahali pa kuanika mapungufu ya ndoa/mahusiano yako na sio mahali pa kuwaringishia watu kiben10 chako.
Usitupie picha zako mapenzi watu waone unapendwa na unapigwa denda vizuri fikiria zile picha za Dai na Zari za kushikana shikana leo zina thamani gani kwao yale matambo kwa snap-chat leo yanageuka kukuzomea.
Wadau toeni mafunzo hapa ili mambo yasiharibike kwa wengine bali wajifunze.
Si mchezo... mapenzi ya viben10 na vibibi yataka moyo