jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
haswaaaa, umenena vyemaMwenzangu siri ya kata aijuaye mtungi,huwezi jua aliona enough is enough.......maana walitoka mbali,undo maana Ivan aliacha kila kitu under control of zari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haswaaaa, umenena vyemaMwenzangu siri ya kata aijuaye mtungi,huwezi jua aliona enough is enough.......maana walitoka mbali,undo maana Ivan aliacha kila kitu under control of zari.
Ha ha haaa haya Kiongozi. Ila haya masinemasinema ni kwa kuwa hawakuwa na ndoa. Sasa na wewe usijefanya masinema kabla ya ndoa😀
Sawa kabisaaa, yaaan Mtoa mada niwatu waina yao.Mimi sioni kama zari ana wakati mgumu,naona alijipanga vizuri kwa hili jambo kutokea.kwahiyo alisubiri siku maalumu kuweka wazi, kuhusu mapungufu wao ndio wanajuana,tusihukumu upande wowote,ya dai yameonekana wazi! Ya zari je? Huwezi jua ukute dai alikuwa anafanya yote ili kuupoza moyo. Vp kama akiyaanika wazi?
Nahofia tu zari akileta mambo ya law of suit... Kama alivyowahi kutishia.
Yote kwa yote kila mtu apambane na hali ya mahusiano yake! Ni kawaida tu mtu mnayependana kufikia wakati mnashindwa kwenda njia moja.
Zari gave Diamond sikio kitu ambacho hakuna mtu alimpa before. Diamond needed to be a father Zari amempa 2 kids, Zari had connections akampa zote Diamond, Zari hakuwa anaomba magari ya Diamond coz anayo mengi zaidi, Zari hakuwa anaomba pesa za Brazilian hair coz she could afford them Ila tu alihakikisha Diamond invests for his and his children future. As a man this is a woman to keep at all cost kwasababu she’s an asset.
Pamoja na umalaya wake bado Diamond anajua umuhimu wa Zari kwenye maendeleo yake na ndio maana aliwahi kusema yuko radhi kutembea kwa magoti mpaka Afrika kusini ili tu kumuomba radhi Zari.
Hakuna aliye mkamilifu duniani zari alimwacha mumewe akakimbilia kwa Dai akidhani huko ndio kuna nafuu lazima tuelewe kila binadamu ana mapungufu ingawa yanatofautiana jifunze kutorudia kosa.
Kila mtenda hutendwa hili liko wazi ona Ivan alivyotendwa na kuumia alipoachwa na Zari leo zamu ya Zari kuumia tena ameumizwa zaidi maana amezalishwa na bado amebwagwa.
Hii haimpi Dai unafuu wowote lazima naye atatendwa na atadhalilishwa na kupelekwa mahakamani na guilty haitaisha moyoni mwake.
Matumizi ya mtandao, hili limekuwa janga sasa mtandaoni sio mahali pa kuanika mapungufu ya ndoa/mahusiano yako na sio mahali pa kuwaringishia watu kiben10 chako.
Usitupie picha zako mapenzi watu waone unapendwa na unapigwa denda vizuri fikiria zile picha za Dai na Zari za kushikana shikana leo zina thamani gani kwao yale matambo kwa snap-chat leo yanageuka kukuzomea.
Wadau toeni mafunzo hapa ili mambo yasiharibike kwa wengine bali wajifunze.
Somo nikwamba wanaume wa kiswahili tunatia aibu. Tuache kujidhalilisha, tuwapende wandani wetu badala ya kuruka ruka bila mapngo na kuishia kuzaa watoto kama kuku wa kienyeji. Kutembea na wanawake kibao bila mpango si ushujaa wala ulijari bali ni ukahaba unaodhalilisha familia na vizazi vijavyo!.
Sawa kabisaaa, yaaan Mtoa mada niwatu waina yao.
Zari kaamua kuachaaa.
Yeye anasema Zari kaachwa.
Nikm shetan alivyowambia akina Adamu na Hawa ,Mkila hakika hamtokufa ,,, wakat Mungu aliwambia ,Mkika mtakufa Hakika.
Mtoa mada , jaribu kustick na alichoandika zary nasio we umgeuzie .