Yaan ishu ya mondi kuachana na bi tukinao inataka kufanywa kuuuuubwa wakati huku kitaa ni ishu za kawaida tu...
Nachojua Ivan na zari walitengana mda before ata hajaanza date na diamond.kipelenge hicho umechemka
Kweli drama za mitandaoni zilikua too much si kuanzia bafuni,kitandani mpaka sebleni.kipengele hichi kwanza walituharibia watoto
Naimani zari atakua amejifunza kutokana na makosa ila kwa dai hii ni asili yake kuanzia kwa wema,penny hadi zari
Hakuna cha kujifunza kwenye mahusiano ya kiuasherati. Mwenye Enzi Mungu katika vitabu vyote amekataza zinaa na uasherati (adultery and fornication) HAKUNA CHA KUJIFUNZA WAKAKOJOE WAKALALE.
Hayo mafunzo hawaitaji hao wasanii ili uyapate. Yako kwenye Vitabu vyote vitakatifu, nenda kasome.Hakuna jambo lisilokuwa na mafunzo.
Hapo tumejifunza tusiwe waasherati. Tuache zinaaa
Hakuna hata cha kujifunza, kubwagana ni kawaida. Kwani alijua kumzalia mwanaume ndio kupendwa?
Utamzalia, utampa ndogo, utazungusha mauno kumwagwa kupo pale pale. Haina Guarantee hiyo, watajua wenyewe na mapenzi yao ya kwenye mitandao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fact!Hakuna cha kujifunza kwenye mahusiano ya kiuasherati. Mwenye Enzi Mungu katika vitabu vyote amekataza zinaa na uasherati (adultery and fornication) HAKUNA CHA KUJIFUNZA WAKAKOJOE WAKALALE.
Hayo mafunzo hawaitaji hao wasanii ili uyapate. Yako kwenye Vitabu vyote vitakatifu, nenda kasome.
Mwenzangu siri ya kata aijuaye mtungi,huwezi jua aliona enough is enough.......maana walitoka mbali,undo maana Ivan aliacha kila kitu under control of zari.Nilisikia Ivan aliomba msamaha mara nyingi na Zari hakutaka kusamehe... any way hatuingilii maisha yao ila tunajifunza kitu. Inaonekana Ivan alimpenda Zari kwa dhati.
Ukikaa kwenye Taifa ambalo watu hawakosei maana yake utakua mbumbumbu, jiongeze basi kidogo.Sio wote wanasoma vitabu vitakatifu. Wakisoma humu watashawishika kusoma vitabu hivyo. Wengi wanajifunza kutokana na makosa ya wengine
Hakuna nilichojifunza mkuu. Ingekuwa ni ndoa ya halali labda wangetufundisha kitu. Mi naona masinemasinema.Hujajifunza kitu hapo?
Kumzalia mwanamume sio kupendwa. Hili ni fundisho tosha.
Wengi wanadhani ukimpata mwanamume ukamzalia chap chap basi umemkamata.. wanakosea.
hivi hii dunia ukitaka kuishi kwa tabu uishi kwa kuangalia watu watafanyeje.Kulambana kwapa kote kule maskini kuzarau wagumba kote kule kisa mondi ,leo hii ataweka wapi sura yake
Hakuna nilichojifunza mkuu. Ingekuwa ni ndoa ya halali labda wangetufundisha kitu. Mi naona masinemasinema.