Moja ya vitu vigumu sana kupatikana kwa sasa ni mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwa mwanaume mmoja, mwanamke anayejitegemea na asiyetegemea fadhila ya wanaume kuishi na zaidi mwanamke mwenye kuvumilia machungu kutoka kwa mwanaume.
Mtanisamehe sana dada zangu lakini kwa sasa zaidi ya 90% ya wanawake wa kitanzania wana price tags, yaani mtu akifika bei kwake hana neno na haijalishi ameolewa ama bado yupo yupo. Mtakubaliana na mimi kwenye hili kwa kufuatilia mtaani kwako tu na mambo yanayoendelea huko.
Kabla ya Diamond kukutana na Zari tayari alishakuwa na mahusiano na wanawake lukuki lakini katika hao hakuna aliyekuwa anamsaidia sana Diamond kwenda mbele. Wengi walimgeuza Danga. Hakuna Kati yao wote waliowahi kumuuliza “What exactly did he desire”
Zari gave Diamond sikio kitu ambacho hakuna mtu alimpa before. Diamond needed to be a father Zari amempa 2 kids, Zari had connections akampa zote Diamond, Zari hakuwa anaomba magari ya Diamond coz anayo mengi zaidi, Zari hakuwa anaomba pesa za Brazilian hair coz she could afford them Ila tu alihakikisha Diamond invests for his and his children future. As a man this is a woman to keep at all cost kwasababu she’s an asset.
Pamoja na umalaya wake bado Diamond anajua umuhimu wa Zari kwenye maendeleo yake na ndio maana aliwahi kusema yuko radhi kutembea kwa magoti mpaka Afrika kusini ili tu kumuomba radhi Zari.
Mwisho hili litakuwa pigo kubwa kwa Diamond kuliko Zari