Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

😂😂😂😂 hv mbn mnakariri sana jaman..yaaan eti unasema wanasurvive..dah...
We unadhani Uwoya anatoa wapi jeuri ya kulisha mtaa mzima siku ya birthday na kwenda na wapambe visiwani ikiwa hana shughuli inayomuingizia pesa za ku justify expenses zake.
Read between the lines!!! Tako n Shape = Asset for butters
 
😂😂unaenda mbali...mie nadhan kwasabab ni mwanamke..ina maana ambao hatuna makalio hatuwez pewa hela na mabwana zetu😑
 
ah wap sina mdomo mchafu...nikajia tuyashindwana tu maana ngumi mkonon..aku
Hahaha kama Ngumi mkononi that was too much, ila siamini mwanaume akupige ukiwa na kauli za kistaarabu tu! Humjibu kunya wala humpandishii anaanzaje kukupiga? Huyo Zakayo alikuwa jipu
 
😂😂unaenda mbali...mie nadhan kwasabab ni mwanamke..ina maana ambao hatuna makalio hatuwez pewa hela na mabwana zetu😑
Sio mbali, naongea mambo ambayo yako realistic kabisa. Wema yule hamna asiyejua amevuruga hela za ma papaa wangapi hapa town. Amehongwa magari mangapi mbele ya macho yako? Unadhani msukumo wa kufanyiwa yote hayo ulikuwa ni nini?
 
bas kuna mengineyo...arghh
 
ndo tumejiaminisha hvyo..kuwa mwanaume mrfu ana extra power...
Extra power ipi sasa, thats a fantasy. But best believe me, if you want a man for life,no lies no dramas just love at the fullest go for Zakayo. Wengi wapo na true hearts sio mafekero!
Naeza nikauita utoto tu, coz security ya mwanaume ni pesa ya kukimu majukumu ya familia. Period! Hayo mengine ni mashauzi tu
 
Extra power ipi sasa, thats a fantasy. But best believe me, if you want a man for life,no lies no dramas just love at the fullest go for Zakayo. Wengi wapo na true hearts sio mafekero!

😂😂 ni kweli... warefu wanajiskia sana sana ova wametoka pluto..
 
Back
Top Bottom