Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Hahaha kwahio alikuwa anakukera na gubu full time? Ila ushajiuliza kwamba ulikuwa unaongeaje nae kabla hajaanza kulalamika?
We unadhani Uwoya anatoa wapi jeuri ya kulisha mtaa mzima siku ya birthday na kwenda na wapambe visiwani ikiwa hana shughuli inayomuingizia pesa za ku justify expenses zake.ππππ hv mbn mnakariri sana jaman..yaaan eti unasema wanasurvive..dah...
Sasa usalama ambao mrefu anao Zakayo hana? Maana wote ni wanaume?mimi ndo nakueleza..saikolojia yetu tunatajka usalama kwanza...hakuna kingine
ππunaenda mbali...mie nadhan kwasabab ni mwanamke..ina maana ambao hatuna makalio hatuwez pewa hela na mabwana zetuπWe unadhani Uwoya anatoa wapi jeuri ya kulisha mtaa mzima siku ya birthday na kwenda na wapambe visiwani ikiwa hana shughuli inayomuingizia pesa za ku justify expenses zake.
Read between the lines!!! Tako n Shape = Asset for butters
ndo tumejiaminisha hvyo..kuwa mwanaume mrfu ana extra power...Sasa usalama ambao mrefu anao Zakayo hana? Maana wote ni wanaume?
Hahaha kama Ngumi mkononi that was too much, ila siamini mwanaume akupige ukiwa na kauli za kistaarabu tu! Humjibu kunya wala humpandishii anaanzaje kukupiga? Huyo Zakayo alikuwa jipuah wap sina mdomo mchafu...nikajia tuyashindwana tu maana ngumi mkonon..aku
Sio mbali, naongea mambo ambayo yako realistic kabisa. Wema yule hamna asiyejua amevuruga hela za ma papaa wangapi hapa town. Amehongwa magari mangapi mbele ya macho yako? Unadhani msukumo wa kufanyiwa yote hayo ulikuwa ni nini?ππunaenda mbali...mie nadhan kwasabab ni mwanamke..ina maana ambao hatuna makalio hatuwez pewa hela na mabwana zetuπ
Sio mbali, naongea mambo ambayo yako realistic kabisa. Wema yule hamna asiyejua amevuruga hela za ma papaa wangapi hapa town. Amehongwa magari mangapi mbele ya macho yako? Unadhani msukumo wa kufanyiwa yote hayo ulikuwa ni nini?
Extra power ipi sasa, thats a fantasy. But best believe me, if you want a man for life,no lies no dramas just love at the fullest go for Zakayo. Wengi wapo na true hearts sio mafekero!ndo tumejiaminisha hvyo..kuwa mwanaume mrfu ana extra power...
Extra power ipi sasa, thats a fantasy. But best believe me, if you want a man for life,no lies no dramas just love at the fullest go for Zakayo. Wengi wapo na true hearts sio mafekero!
hahahahhahahahhahhaahhahahahatupendi makalio, tunapenda makalio makubwa.
Ndio hayo aliosema mtoa mada, matako tu na shape hamna kingine!bas kuna mengineyo...arghh
Na daima wanawake wanapendaga mtu mwenye drama tu. Warefu wanaiwezaga sana hio kaziππ ni kweli... warefu wanajiskia sana sana ova wametoka pluto..
πππNa daima wanawake wanapendaga mtu mwenye drama tu. Warefu wanaiwezaga sana hio kazi
Kina Zakayo rule za mchezo huwa ngumu kuzielewa. Overnice!!!πππ
Ama nimeongopaa???πππ
πππpromoππKina Zakayo rule za mchezo huwa ngumu kuzielewa. Overnice!!!
hapanaAma nimeongopaa???
Short & Clear
Umenenauzuri mwisho wa siku na sie flat screen tunapendwa vilevile..ngoma droo