Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

Huku weka tako ,upande mwingine weka kikotoo 100% wote watakimbilia tako,
 
Tamaa ya macho tu hakuna lolote, tena n tamaa ya muda kwan ukiwa nae ndan hayo makalio c llte na co ccte.Na hata wao wanawake wenyewe imewagharimu kwan wasiojielewa wamehc n wazuri na kama yupo shule hataki kizingatia masomo, akiwa kwenye biashara haoni umuhimu wa kujali wateja na kama ni kazini bc hujiona yy ndo yy. Makalio ni kitu cha kawaida tu kwan hakuna mtu asiye na makalio cha msingi ni tabia njema ppte utakapokuwa.Kwan tabia njema ndo msingi wa mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…