Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
kuna wengine wanapenda macho wembamba pia
bora mkuu utupe moyo ah wanaboa kweli hawa
kuna wengine wanapenda macho wembamba pia
Manka MUNGU anakuona ujueeeUshetani unawasumbua tu wanatufanya wanawake hatuwi comfortable kutuangalia angalia huko nyuma. In short wanakera
Sent using Jamii Forums mobile app
Mane kwani na wewe ulidondokea bafuni?uzuri mwisho wa siku na sie flat screen tunapendwa vilevile..ngoma droo
Kwahiyo tusiwaangalie, kwani sisi na nyie nani anatumiwa na shetani kumuangusha mwingine, umesahau Hawa na Delilah walivyotumika na shetani.Ushetani unawasumbua tu wanatufanya wanawake hatuwi comfortable kutuangalia angalia huko nyuma. In short wanakera
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya wake nini?
Maendeleo hayana chama
Kwa sababu Mende anapenda MAVI ndo mana anapenda kukaa chooni!
One man's meat is another man's poison.Upo hapo. Wewe ukisema la kazi gani hili wengine wanasema watalipataje. Km unapenda vi portable siwezi kukushangaa manake kila mtu hula kile kitu roho inapenda
Kweli Mkuu...ukishalivua nguo na tamaa za mwili kuisha yani nyege zikikata unatamani ata kulifukuza.....Tamaa ya macho tu hakuna lolote, tena n tamaa ya muda kwan ukiwa nae ndan hayo makalio c llte na co ccte.Na hata wao wanawake wenyewe imewagharimu kwan wasiojielewa wamehc n wazuri na kama yupo shule hataki kizingatia masomo, akiwa kwenye biashara haoni umuhimu wa kujali wateja na kama ni kazini bc hujiona yy ndo yy. Makalio ni kitu cha kawaida tu kwan hakuna mtu asiye na makalio cha msingi ni tabia njema ppte utakapokuwa.Kwan tabia njema ndo msingi wa mafanikio
Ndo mana nimejisemea mm kwa upande wa wangu la kazi gani ilo jitu kama tembo...One man's meat is another man's poison.Upo hapo. Wewe ukisema la kazi gani hili wengine wanasema watalipataje. Km unapenda vi portable siwezi kukushangaa manake kila mtu hula kile kitu roho inapenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa aliyekuambia mm ni dada ni nani?Ndo mana nimejisemea mm kwa upande wa wangu la kazi gani ilo jitu kama tembo...
Au unafikiri nimekua msemaji wako dada
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
1st -unasound kidemu demu 2nd -unaonekana kama kwenye iyo picha ni wewe na mtoto wako so apo ulikua ni mwamba ngoma.
Umenikosea1st -unasound kidemu demu 2nd -unaonekana kama kwenye iyo picha ni wewe na mtoto wako so apo ulikua ni mwamba ngoma.
3rd -yote ni majibu
we unayo makubwa?Ushetani unawasumbua tu wanatufanya wanawake hatuwi comfortable kutuangalia angalia huko nyuma. In short wanakera
Sent using Jamii Forums mobile app
Well, Samahani Ndugu Mende.
Ok Mkuu Samahani Sana.