Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

HATA MIMI NAYAPENDA,YALE MAKUBWA MAKUBWA..ILA YASIYOTEPETA KAMA UTUMBO WA NGONGEZA
 
Nimefanya kautafiti kadogo na kubaini kwamba wanaume wengi wa kipato cha chini ndio tunapenda wanawake wenye makario makubwa.Wanaume wenye pesa zao wanapenda wanawake wazuri,wembamba na wenye akiri.
 
hahahahaha tena dera la ccm[emoji23][emoji23][emoji23]... hii nchi ilitumika vby sana sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaelekea hotuba zake hua hazikupiti kada, mi naonaga ananizingua tu vile anavyoviongea ni tofauti kabisa na anavyovifanya.
Ila katikati ni lahaaaa, watu weeeewe we eeeenh
Namaanisha kuishi katikati ya dalesalam na dodoma nyie watani zangu wa mologolo mnalaha sana.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
😂😂😂 sinaga ht muda wa kumskiza zaid ya juz kwenye kikokotoo...ananichefua sana mbwiga hyo....ila jitahd uwe mzalendo na nchi yako aisee..usitumike na mabeberu
 
Back
Top Bottom