Kwaheri DAR ES SALAAM, Madame B nimehamia rasmi mkoani Dodoma. DODOMA NIPOKEENI.

Karibu kanda ya kati mkuu, tupo poa huku. Nakupongeza kwa kujitahidi kuondokana na ujinga wa Dar na huenda sasa baada ya miezi utaanza kuwa jasiri na utaelewa kwanini wanaume wa Dar wanachekwa na jamii hapa Tanzania.
Waoooooo
Asante sana sana mkuu.
Natamani nijue hiyo siri ya wanaune wa mkoani kusifiwa kwa kila kitu.

Asante sana mkuu
 
We shall miss you!
Japo tulikupenda sana lakini bwana mungu kakupenda zaidi!

Dah sorry namaanisha Japo Dar walikupenda Lakini Dodoma imekupenda zaidi. Uishi kwa amani hasa utakapoanza mwaka mpya. Huko kuna Dodoma wine kitu orijinali proudly Tanzanian .

Dar si unajua kila kitu kimekuja na merikebu mpaka toothpick.
 
Madame Upo Jiji Jipya?

Mi nishahamisha makazi huko,

Ngoja nitambikie huku kwanza, nikija huko ni mwendo wa Jumlajumlaaa....
 
Na picha yake utaki kutoa

Au unataka niambia moyoni hayupo lakini JF bado anaishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamani...huyo ni mdogo wangu, nataka nipate wifi hivoooo

Hahhha
Picha nitaitoa baadae mkuu
 
Asante sana mkuu.
Karibi sana nawe
 
Madame Upo Jiji Jipya?

Mi nishahamisha makazi huko,

Ngoja nitambikie huku kwanza, nikija huko ni mwendo wa Jumlajumlaaa....
Waooooo
Dodoma wing tunazidi kujaa jamani.

Mie nimekuja juzi, muda si mrefu naibuka Malaika lounge.
Ukitia mguu tu....tutafutane
 
Jamani...huyo ni mdogo wangu, nataka nipate wifi hivoooo

Hahhha
Picha nitaitoa baadae mkuu

Hahaha πŸ˜‚πŸ˜‚ ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu siuliniambiaga ndio bebezzz anakuweka hapa mjini maloveee kama yoteee au ulikuwa unanitisha nisijiongezeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha πŸ˜‚πŸ˜‚ ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu siuliniambiaga ndio bebezzz anakuweka hapa mjini maloveee kama yoteee au ulikuwa unanitisha nisijiongezeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaha
Wana mbona mna kumbukumbu hivo.
Anyaway....ila si unajua sie wanawake ni kaka vinyonga?
Tunabadilika kulingana na rangi ya mti.
Nilikuwa nabadilikia kwako....sema umenistukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…