Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 831
Mkuu mbonà unanicheka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbonà unanicheka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sijaamini swali lako ujue. Sababu matokeo unayo kiganjani.Mkuu mbonà unanicheka?
Umeamua kunikwepa aisee,.....Yaani sijaamini swali lako ujue. Sababu matokeo unayo kiganjani.
na wewe unakuja lini?Madame kila la heri kwenye makazi mapya
Mm wa huku huku bwanana wewe unakuja lini?
Hahahahaha jamani hansi we ni kama kupeMrejesho wa party vipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi napenda kuku wa malaika anex tu basi ,samaki sato watamu wapo pale chief asiliaAsante sana mkuu.
Napenda samaki.
Vp mnadani kunapatikana samaki?
Hahahahaah utashindwa kutembeaNikienda kwa jirani yako Sele nitakua nakula sahani mbili moja kukukumbuka.
Tutakua tunakutana nikija makao makuu
Nishindwe tu ila vitu vizuri siachiHahahahaah utashindwa kutembea
Mnadani ni kule Msalato bhaaaana !!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nishindwe tu ila vitu vizuri siachi
Mwanza pazuri sana usijaribu kupazoea [emoji23]Mwanza unajua sijauelewa ule mji.
Naona uko kama umepinduka hivi au kwa kuwa sijauzoea
We acha tu.Cute Leo mbona warembo wa jf wanahangaika demiss kapewa talaka
Madame b anahama
Miss natafuta hajanunuliwa zawadi kulikoni??
Nasubiria lako
Mwanza pazuri sana usijaribu kupazoea [emoji23]
Habarini.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
NIMEUHAMA RASMI MKOA WA DAR ES SALAAM, na sasa natambulika rasmi kama MKAAZI HALALI WA MKOA WA DODOMA
Kwaheri Dar na starehe zake zote.
Nitawamiss sana rafiki zangu niliowaacha Dar ambao tulikutana Jf na nje ya Jf.
Wana Dodoma naomba mnikaribishe mkoani kwenu.
●Tufufue Dodoma wing.
●Tukutane kila Ijumaa au Jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa wana Dodoma.
●Kutafuta mlezi na mfadhili wa Dodoma wing (hili swala nitalishughulikia mimi)
Watu wa Dodoma tujuane na tuwe na kundi letu kwa atakayependa.
Karibu Pm kwa mwanaJf uliye Dodoma, kama hutataka nikutambue hapa jukwaani.
Now nipo RainbowILA NAIACHA DAR HUKU MOYO UNANIUMA SANA HASA KINONDONI NILIPOKUWA NAISHI.
Kesho mkesha Malaika lounge
Karibuni
View attachment 975782
Na kama kuna mtu au kikundi cha watu ambao niliwakosea kwa namna moja ama ingine iwe kwa Mawazo, Maneno, Vitendo au Ishara...naomba tusameheane.
Madame B ni binadamu na nina mapungufu yangu.
Tunahitaji kuingia mwaka mpya wa 2019 bila kuwa na kinyongo wala manung'uniko na mtu yeyote.
Aombaye msamaha, hutaka kusamehewa....naomba kusamehewa nilipokosea.
Pia niwatakie...Jf Founders, Staff's wote wa Jamii Media, Wana Jamii forums wote, chini ya uongozi makini wa kaka Maxence Melo na kaka Mike Mushi heri ya Xmass na mwaka mpya mwema.
NAWAPENDA WOTE...
View attachment 976122
View attachment 976176