Kwaheri DAR ES SALAAM, Madame B nimehamia rasmi mkoani Dodoma. DODOMA NIPOKEENI.

Kwaheri DAR ES SALAAM, Madame B nimehamia rasmi mkoani Dodoma. DODOMA NIPOKEENI.

Cute Leo mbona warembo wa jf wanahangaika demiss kapewa talaka
Madame b anahama
Miss natafuta hajanunuliwa zawadi kulikoni??

Nasubiria lako
We acha tu.
Nahama jiji...
Unajua ukiona maisha ya mume yanakubana, unayavulia mbaliiiiii
 
Habarini.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
NIMEUHAMA RASMI MKOA WA DAR ES SALAAM, na sasa natambulika rasmi kama MKAAZI HALALI WA MKOA WA DODOMA

Kwaheri Dar na starehe zake zote.
Nitawamiss sana rafiki zangu niliowaacha Dar ambao tulikutana Jf na nje ya Jf.

Wana Dodoma naomba mnikaribishe mkoani kwenu.
Tufufue Dodoma wing.
●Tukutane kila Ijumaa au Jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa wana Dodoma.
●Kutafuta mlezi na mfadhili wa Dodoma wing
(hili swala nitalishughulikia mimi)

Watu wa Dodoma tujuane na tuwe na kundi letu kwa atakayependa.
Karibu Pm kwa mwanaJf uliye Dodoma, kama hutataka nikutambue hapa jukwaani.
Now nipo Rainbow
Kesho mkesha Malaika lounge
Karibuni

ILA NAIACHA DAR HUKU MOYO UNANIUMA SANA HASA KINONDONI NILIPOKUWA NAISHI.
View attachment 975782
Na kama kuna mtu au kikundi cha watu ambao niliwakosea kwa namna moja ama ingine iwe kwa Mawazo, Maneno, Vitendo au Ishara...naomba tusameheane.
Madame B ni binadamu na nina mapungufu yangu.
Tunahitaji kuingia mwaka mpya wa 2019 bila kuwa na kinyongo wala manung'uniko na mtu yeyote.
Aombaye msamaha, hutaka kusamehewa....naomba kusamehewa nilipokosea.


Pia niwatakie...Jf Founders, Staff's wote wa Jamii Media, Wana Jamii forums wote, chini ya uongozi makini wa kaka Maxence Melo na kaka Mike Mushi heri ya Xmass na mwaka mpya mwema.
NAWAPENDA WOTE...
View attachment 976122

View attachment 976176


Karibu kanda ya kati mkuu, tupo poa huku. Nakupongeza kwa kujitahidi kuondokana na ujinga wa Dar na huenda sasa baada ya miezi utaanza kuwa jasiri na utaelewa kwanini wanaume wa Dar wanachekwa na jamii hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom