Kwaheri DAR ES SALAAM, Madame B nimehamia rasmi mkoani Dodoma. DODOMA NIPOKEENI.

Hahahaha
Wana mbona mna kumbukumbu hivo.
Anyaway....ila si unajua sie wanawake ni kaka vinyonga?
Tunabadilika kulingana na rangi ya mti.
Nilikuwa nabadilikia kwako....sema umenistukia

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pole sana maana umekutana na database mafile yako yote ninayo kwenye system yangu nasubiri ujipindue tuu nikulipue πŸ”₯πŸ’£πŸ’£πŸ’£πŸ’₯πŸ’₯

Kweli beautiful liar

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚pole sana maana umekutana na database mafile yako yote ninayo kwenye system yangu nasubiri ujipindue tuu nikulipue πŸ”₯πŸ’£πŸ’£πŸ’£πŸ’₯πŸ’₯

Kweli beautiful liar

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dah!!!
Aibu nimeona mimi ujue.
Ila dah!!
Kweli ukiwa muongo, uwe na kumbukumbu aisee
 
Dah!!!
Aibu nimeona mimi ujue.
Ila dah!!
Kweli ukiwa muongo, uwe na kumbukumbu aisee

Hamelewekagi nyie
Kesho ukiamka utakuja na thread dar siami ng'oo mji wa maraha no karahaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…