Kwaheri Dkt. Magufuli, karibu uonevu

Umemaliza shemeji....

D hajambo lakini?
 
"Watanzania mumeponea chupuchupu" mshukuruni Mungu.

Alikuwa mwenzangu huyo
 
Ukweli always unauma ndio maana umeeka mavidio haya any way haina haja kushindana utawadangaya hao wajinga wasiojua mambo.
 
Ukurasa wa pombe umefungwa. Sasa tupo ukurasa wa suluhu tu.
 
Ukweli always unauma ndio maana umeeka mavidio haya any way haina haja kushindana utawadangaya hao wajinga wasiojua mambo.

Jibu maswali niliyokuuliza acha kurukaruka kama chura

Samia alikuambia hakushirikishwa?

Samia na Majaliwa walipochaguliwa na Magufuli tena mara ya pili walikua wakristu?

Walinzi na wasaidizi wa Magufuli wote walikua wakristu?

Jaji mkuu, msemaji mkuu wa wa serikali, mkuu wa usalama wa taifa nao walikua waislam wakabadili dini kuwa wakristu ndio wakateuliwe?

Acha akili za kishirikina huu ni muda wa kushikana mikono kulijenga taifa letu
 
Uko sahihi lakini yeye tatizo lake aliendekeza upumbavu ili kukilinda chama dhalimu cha ccm.
 
View attachment 1733097
"Watanzania mumeponea chupuchupu" mshukuruni Mungu.

Alikuwa mwenzangu huyo
Ila uganda wana bahati sana na marais...

Juzi nimeona mganda mmoja analalamika eti sala za waganda Mungu kazijibia Tanzania... hahahaa yani Magu imetokea bahati mbaya, ilikuwa aondoke wa Uganda
 
Aliwadhulumu mamantilie,machinga na wanyonge wake kwa kukataa kuwapatia Katiba itakayowalinda na kuwawezesha kufanya shughuli zao kwa Uhuru na kuzirasimisha akidai siyo kipaumbele chake.
Hasara ni pale Rais na serikali yake watakapoamua kusimamia sheria,hao wanyonge hawataruhusiwa kufanya biashara sehemu zisizo rasmi na wakilalamika watakuta waliuza Utu wao kwa Mali kauli.
Hapo kutatokea kilio cha kusaga meno!
 
Ila uganda wana bahati sana na marais...

Juzi nimeona mganda mmoja analalamika eti sala za waganda Mungu kazijibia Tanzania... hahahaa yani Magu imetokea bahati mbaya, ilikuwa aondoke wa Uganda
Waganda ni Ukabila tu ndio unaowasumbua Ukabila unawatia upofu wa kuona Museveni kawatoa wapi.
 
kwani weye uko wapii? Basi umeshindaaa nisalimie D mwambie zinatoka kwa anko.
 
Mama yupo! Atakayemjaribu atakiona cha Moto!!
 
kwani weye uko wapii? Basi umeshindaaa nisalimie D mwambie zinatoka kwa anko.

Sawa uncle ake D, salam zimefika unadaiwa chocolate sasa
Nimemwambia nikirudi toka chato nitakuambia umnunulie
 
Ukiwasikiliza CCM unaweza sema nchi imepata uhuru 2015
wajinga tu hao nchi ilipata uhuru tangu 1961 sasa 2015 imekuwa ni nyimbo zisizo na manufaa mpaka mungu akaamuwa kumchukua kiongozi kabla ya wakati kwa sababu sifa na mjitukuzo yamezidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…