Kumbe wewe mbaguzi eee, wakati Magufuli anawanachagua hao mawaziri Samia alikuambia hakushirikishwa? Acha kufikiria vitu vya kukurudisha nyuma.
Halafu nikuulize swali Samia na Majaliwa walipochaguliwa na Magufuli tena mara ya pili walikua wakristu?
Walinzi na wasaidizi wa Magufuli wote walikua wakristu?
Jaji mkuu, msemaji mkuu wa wa serikali, mkuu wa usalama wa taifa nao walikua waislam wakabadili dini ndio wakateuliwe?
Acha fikra za kimaskini, watu kama nyie ndio mnaotuharibia ustawi wa taifa
Nafasi za mawazi wapewe wenye uwezo bila kuangalia dini wala jinsia
Nakupa na bonus ya video ujifunze maana kuna mambo ukiyaongea kwenye Tanzania ya leo yanakunya udharaulike na serikali na wananchi wanamjua Magufuli
View attachment 1733081
View attachment 1733070