Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Alale pema.....Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uhai! Hakuna maiti inayoweza kupanga Malengo na kutafuta mikakati ya kutimiza Malengo.
Alale pema
Nakubali kwa ujumbe mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alale pema.....Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uhai! Hakuna maiti inayoweza kupanga Malengo na kutafuta mikakati ya kutimiza Malengo.
Alale pema
Anauliza swaliPole dada
Basi nikajua ni WhatsAppWatu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa JamiiForums ahaa naondoka nimechoka.
Dada Mallerina mambo🤔Anauliza swali
Sijambo dada naomba 😋😋Poa hujambo?
Unaomba niniSijambo dada naomba 😋😋
🤗🤗TamuUnaomba nini
Bila hela hakuna utamu🤗🤗Tamu
Mzima uyu..Hata Mimi sijamsoma jamaa sijui yupo hai au la
🚴🚴🚴🚴Bila hela hakuna utamu
😳🤔Huyu alifariki? 🙌
Sijaelewa kwamba huyu mtu alifariki?
Mleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake.Hata Mimi sijamsoma jamaa sijui yupo hai au la
Nimefurahi kumuona yupo active maake Kuna I'd nyingi humu za kitambo kirefu! Afu sipatagi wazo la kuview I'd yake
ona madmax kanitag hapoMleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake.
Mleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake.
Watu wapo kimya kimya daah 😂😂....Duh!
😂😂 Kuna umuhimu wa kujuliana Hali siku moja moja!Watu wapo kimya kimya daah 😂😂....
Watu wapo kimya kimya daah 😂😂....Duh!
Muhimu aseeh...... Tunafikir ubize kumbe mambo yashakuwa mengi 😂😂😂 Kuna umuhimu wa kujuliana Hali siku moja moja!
Maana unaweza ukakaa kimya watu wanajua umevutaa!