Kwaheri JF

Kwaheri JF

Watu wapo kimya kimya daah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚....

Muhimu aseeh...... Tunafikir ubize kumbe mambo yashakuwa mengi ๐Ÿ˜‚
Muhimu sana hiyo Mkuu! Maana mtu akivuta hata kupata taarifa zake ni ngumu sana

Utapataje kwa fake IDs hizi?
 
Najua hawakubalii afu sijui kwann watu waoga kwamba ni privacy which privacy? wakati binadamu wa humu nd hawahawa au huku wametoka kwenye mwezi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Utakuta Kuna wengine wanavyo jipambanua hapa, sivyo walivyo hivyo wanaogopa kujulikana.

Wengine ni watu wa heshima ila wanaishi kisela na kujiachia sana humu hivyo pia nao hawataki kujulikana

Binafsi Mimi katika hayo Makundii mawili sipo ๐Ÿ˜‚ ... I just associates na Kila humu as if najulikana Hilo linanifanya niwe na nidhamu Binafsi sometimes
 
Naona ni kukosa elimu tuu ๐Ÿ˜‚

Mimi siwezi kuja humu kujisifia nipo na hela, sijui magari nyumba hapana huku nina changamoto kibao

Hata changamoto ni vile tunaamini tunaweza pata kuambiwa neno la faraja!

mimi nipo normal kabisa hata useme tuonane kesho nikiwa na time sina ttzo...... Nikanunue dagaa mchele kwa Bolotoba
 
Kaka sahivi nauza na miguu ya mbuzi buruguni sokoni karibu sana kwato za ng'ombe pia๐Ÿคฃ
 
Mungu atusaidie mkuu!

Kuna siku tutaonana Mimi wewe Bolotoba na itakuwa siku njema sana
 
Kaka sahivi nauza na miguu ya mbuzi buruguni sokoni karibu sana kwato za ng'ombe pia๐Ÿคฃ
Umelipwa hela ya kibarua umeenda kulewea hivi una matatizo Gani ๐Ÿ˜‚? Umekunywa mpaka mtaji wa uduviii
 
Itapendeza sana!! Bruh kwangu you're a brother
I have learnt this kwenye maisha yangu!

Kuna namna Mungu anaweza kuwatanisha pasipo kutegemea ila akawa na kusudi kubwa sana na umoja wenu!

Who knows? Pengine Mungu ana jambo anataka kulifanya kupitia sisi!

Mimi siku mambo yangu yakikaa sawa! Lazima tuonane hata huyo kichwa panzi mlevi Bolotoba ๐Ÿ˜‚ nimemwambia

Apatapa surprise yangu ya kumtembelea pasipo kutegemea
 
Hahahaha awe mkweli...... Tumtembelee Nile uduvi na samaki!
Sijajua yule jamaa angu kama siku hizi ana uduvi na samaki ... Mara ya mwisho nilimkuta na pweza, mishikaki matunda n.k

Yupo pale bamaga opposite na chuo Cha ustawi wa jamii

Tutaenda siku moja kama upo dar
 
Hilo
I have learnt this kwenye maisha yangu!

Kuna namna Mungu anaweza kuwatanisha pasipo kutegemea ila akawa na kusudi kubwa sana na umoja wenu!

Who knows? Pengine Mungu ana jambo anataka kulifanya kupitia sisi!

Mimi siku mambo yangu yakikaa sawa! Lazima tuonane hata huyo kichwa panzi mlevi Bolotoba ๐Ÿ˜‚ nimemwambia

Apatapa surprise yangu ya kumtembelea pasipo kutegemea
naamini huwa linatokea kabisa.....

Ikiwa mmeelewana sioni haja ya mtu kujificha ficha kaka!!
 
Back
Top Bottom