Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Alale pema.....Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uhai! Hakuna maiti inayoweza kupanga Malengo na kutafuta mikakati ya kutimiza Malengo.
Alale pema
Anauliza swaliPole dada
Basi nikajua ni WhatsAppWatu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa JamiiForums ahaa naondoka nimechoka.
Dada Mallerina mamboπ€Anauliza swali
Sijambo dada naomba ππPoa hujambo?
Unaomba niniSijambo dada naomba ππ
π€π€TamuUnaomba nini
Bila hela hakuna utamuπ€π€Tamu
Mzima uyu..Hata Mimi sijamsoma jamaa sijui yupo hai au la
π΄π΄π΄π΄Bila hela hakuna utamu
π€£π΄π΄π΄π΄
π³π€Huyu alifariki? π
π€¨
Sijaelewa kwamba huyu mtu alifariki?
Mleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake.Hata Mimi sijamsoma jamaa sijui yupo hai au la
Nimefurahi kumuona yupo active maake Kuna I'd nyingi humu za kitambo kirefu! Afu sipatagi wazo la kuview I'd yake
ona madmax kanitag hapoMleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake.
Mleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake.
Watu wapo kimya kimya daah ππ....Duh!
ππ Kuna umuhimu wa kujuliana Hali siku moja moja!Watu wapo kimya kimya daah ππ....
Watu wapo kimya kimya daah ππ....Duh!
Muhimu aseeh...... Tunafikir ubize kumbe mambo yashakuwa mengi πππ Kuna umuhimu wa kujuliana Hali siku moja moja!
Maana unaweza ukakaa kimya watu wanajua umevutaa!