makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Muhimu sana hiyo Mkuu! Maana mtu akivuta hata kupata taarifa zake ni ngumu sanaWatu wapo kimya kimya daah ππ....
Muhimu aseeh...... Tunafikir ubize kumbe mambo yashakuwa mengi π
Hahahaha ni ngumu sana aani.... tuunde grup tuwaone πMuhimu sana hiyo Mkuu! Maana mtu akivuta hata kupata taarifa zake ni ngumu sana
Utapataje kwa fake IDs hizi?
Wakikubaliii niteeee .... Nimekaa paleeeeeee πHahahaha ni ngumu sana aani.... tuunde grup tuwaone π
Najua hawakubalii afu sijui kwann watu waoga kwamba ni privacy which privacy? wakati binadamu wa humu nd hawahawa au huku wametoka kwenye mwezi ππWakikubaliii niteeee .... Nimekaa paleeeeeee π
Utakuta Kuna wengine wanavyo jipambanua hapa, sivyo walivyo hivyo wanaogopa kujulikana.Najua hawakubalii afu sijui kwann watu waoga kwamba ni privacy which privacy? wakati binadamu wa humu nd hawahawa au huku wametoka kwenye mwezi ππ
Naona ni kukosa elimu tuu πUtakuta Kuna wengine wanavyo jipambanua hapa, sivyo walivyo hivyo wanaogopa kujulikana.
Wengine ni watu wa heshima ila wanaishi kisela na kujiachia sana humu hivyo pia nao hawataki kujulikana
Binafsi Mimi katika hayo Makundii mawili sipo π ... I just associates na Kila humu as if najulikana Hilo linanifanya niwe na nidhamu Binafsi sometimes
Kaka sahivi nauza na miguu ya mbuzi buruguni sokoni karibu sana kwato za ng'ombe piaπ€£Naona ni kukosa elimu tuu π
Mimi siwezi kuja humu kujisifia nipo na hela, sijui magari nyumba hapana huku nina changamoto kibao
Hata changamoto ni vile tunaamini tunaweza pata kuambiwa neno la faraja!
mimi nipo normal kabisa hata useme tuonane kesho nikiwa na time sina ttzo...... Nikanunue dagaa mchele kwa Bolotoba
Mungu atusaidie mkuu!Naona ni kukosa elimu tuu π
Mimi siwezi kuja humu kujisifia nipo na hela, sijui magari nyumba hapana huku nina changamoto kibao
Hata changamoto ni vile tunaamini tunaweza pata kuambiwa neno la faraja!
mimi nipo normal kabisa hata useme tuonane kesho nikiwa na time sina ttzo...... Nikanunue dagaa mchele kwa Bolotoba
Kumbe buguruni upo serious mkuu π...... Kuwa mkweli nije napenda Swahili foods nije na makutoporaKaka sahivi nauza na miguu ya mbuzi buruguni sokoni karibu sana kwato za ng'ombe piaπ€£
Umelipwa hela ya kibarua umeenda kulewea hivi una matatizo Gani π? Umekunywa mpaka mtaji wa uduviiiKaka sahivi nauza na miguu ya mbuzi buruguni sokoni karibu sana kwato za ng'ombe piaπ€£
Nitakuwa zangu riverside nimeshika chuchu za barmaid nahonga hela yangu ya udeiwaka wa kuchimba visiki mlandizi
Achanae huyo Mimi ndo najua alipoooKumbe buguruni upo serious mkuu π...... Kuwa mkweli nije napenda Swahili foods nije na makutopora
Kama huna kinyaa njoo mkuu huku watu wanakula hadi mapupu ya samaki filate hatujawahi gusaKumbe buguruni upo serious mkuu π...... Kuwa mkweli nije napenda Swahili foods nije na makutopora
Itapendeza sana!! Bruh kwangu you're a brother
Hahahaha awe mkweli...... Tumtembelee Nile uduvi na samaki!Achanae huyo Mimi ndo najua alipooo
Angekuwa yupo buguruni ... Hii dar tungekoma sana ... Mkuu wa Mkoa angekuwa tu Uwepo wake
Namjua ndugu yangu huyo π
I have learnt this kwenye maisha yangu!Itapendeza sana!! Bruh kwangu you're a brother
Sijajua yule jamaa angu kama siku hizi ana uduvi na samaki ... Mara ya mwisho nilimkuta na pweza, mishikaki matunda n.kHahahaha awe mkweli...... Tumtembelee Nile uduvi na samaki!
Nakula nyama nyama...... Supu ya utumboKama huna kinyaa njoo mkuu huku watu wanakula hadi mapupu ya samaki filate hatujawahi gusa
Utasalimiage baba zakoMiaka kumi na tatu nyuma alooh..... Nikiwa kijijini kwetu huko!
Kuna mwingine naona R.I.P am feeling sorry to he/she....
secretarybird Bolotoba makutupora Hovering
naamini huwa linatokea kabisa.....I have learnt this kwenye maisha yangu!
Kuna namna Mungu anaweza kuwatanisha pasipo kutegemea ila akawa na kusudi kubwa sana na umoja wenu!
Who knows? Pengine Mungu ana jambo anataka kulifanya kupitia sisi!
Mimi siku mambo yangu yakikaa sawa! Lazima tuonane hata huyo kichwa panzi mlevi Bolotoba π nimemwambia
Apatapa surprise yangu ya kumtembelea pasipo kutegemea