Kwaheri JF

Hakika alafu mbona kama tunaweza fungua youth talk show mzee YouTube tukawa na mjadala na Mikasa fulani ya kuhamasisha vijana Monetary doctor
 
Kweli mkuu ... Tujifiche kwani sisi ni magaidiii?
Mimi sioni haja ya kujificha mzee wangu ili Hali maisha yetu yapo connected na watu! Pasi na watu hakuna aliye fanikiwa mwenyewe

watu ni baraka, neema madaraja ukijua kuwatumia tuu
 
Shikamoo baba!

Afu kijana mmoja mtulivu sana.... wengi humu akishasema mkubwa mm namsalimia huwa sina kujilinganisha na watu wazima kiumri
Kuna baba zako kina mzee mwanakijiji
Wakati naingia jf nilikuwa dogo kama wewe sasa hv mwanangu yupo form4
 
Sijajua yule jamaa angu kama siku hizi ana uduvi na samaki ... Mara ya mwisho nilimkuta na pweza, mishikaki matunda n.k

Yupo pale bamaga opposite na chuo Cha ustawi wa jamii

Tutaenda siku moja kama upo dar
Kumbe hapo bamaga njia ya kila wakati nikienda sinza ama mwenge

Nipo Dsm hii watu wanaosema tunaoishi tuna maisha magumu

Watz bhn wananifurahisha sana
 
Hakika alafu mbona kama tunaweza fungua youth talk show mzee YouTube tukawa na mjadala na Mikasa fulani ya kuhamasisha vijana Monetary doctor
Hakika alafu mbona kama tunaweza fungua youth talk show mzee YouTube tukawa na mjadala na Mikasa fulani ya kuhamasisha vijana Monetary doctor
Leo hujanywa gongo πŸ˜‚ ... Ukiwa mzima una akili sana mzeee!

Trust me hii kitu ni kweli ... Umenigusaa

Miaka 5 nyuma nilikuwa na movement Moja ya kuwatafuta watu waliopiga hatua fulani kwenye maisha.

Na wenye taarifa nyingi zinazoweza kutumika kuwatia moyo vijana na kuwapa Maarifa.

Niliandaa maswali kumi ... Nikifanikiwa kuonana na Marehemu Padre Privatusi Karugendo, Mzee Richard Mabala yule wa Mabala the farmer, Nick wa Pili

Na walijibu maswali

I think this is best idea ...
 
Kuna baba zako kina mzee mwanakijiji
Wakati naingia jf nilikuwa dogo kama wewe sasa hv mwanangu yupo form4
Aseeh hongera sana....... Mwanao ana range ya 17yrs if yes na kama umepiga mpaka chuo...... Mm nakuwa first born kwa wenzio ambao hawakuendelea na shule
 
Hahahaha wazo zuri kabisa mm ntaomba nirudi shule nikasome saikolojia hata certificate
Usijali Mimi nipo ntakupiga msasa kwenye Hilo

Nimefanya sana vipindi TBC1 hasa vipindi vya saikolojia ... Mie ni social worker eti
 
Usijali Mimi nipo ntakupiga msasa kwenye Hilo

Nimefanya sana vipindi TBC1 hasa vipindi vya saikolojia ... Mie ni social worker eti
Oooh hongera umefanyia shahada hii wapi bruh?

Najifunza kidg kidg hasa kuijua saikolojia vzr au kwa kiasi fulani!
 
Oooh hongera umefanyia shahada hii wapi bruh?

Najifunza kidg kidg hasa kuijua saikolojia vzr au kwa kiasi fulani!
Nimeifanya Institute of Social Work hapo!

Ni muhumi sana kuijua saikolojia inasaidia pia kuweza kuishi na watu wa kuwa sehemu ya msaada kwa wengine.
 
Nimeifanya Institute of Social Work hapo!

Ni muhumi sana kuijua saikolojia inasaidia pia kuweza kuishi na watu wa kuwa sehemu ya msaada kwa wengine.
Hongera sana! Bamaga mnaita ama sinza,

Mimi nilikuwa hapo IFM bhn.....

Saikolojia ni muhimu na Bora nadhani course hii ingeekwa humo vyuoni maake watu wana matatizo bruh so poa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…