Kwaheri Magufuli: Haya ndiyo Mazingira ya Mikataba Baina ya Afrika na Wakoloni/ Weupe

Kwaheri Magufuli: Haya ndiyo Mazingira ya Mikataba Baina ya Afrika na Wakoloni/ Weupe

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli.

Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au kusema ngoja nisome tena mara ya pili.

Au kusema uvute hata pumzi kidogo kwa kunywa maji, labda uwaambie jamani eh ngojeni kidogo huu mkataba sijauelewa

FB_IMG_1616442090073.jpg


Picha inaonyesha yote, kama ni ujambazi unafanyika hapo hadi wengine wanatamani wamsaidie kusaini.

Rest in peace JOHN P. MAGUFULI.
 
Duuu mwalimu kashasha anasemaje kuhusu hili?
 
Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli...
Ahahahahhaha hapa jamaa hata akisema niletee demu mkali kwanza, nahisi ataletewa mia
 
JPM alikuja tu kwa muda huu mfupi sana, Sana kuonyesha ni Kwa namna gani kiongozi wa nchi anapaswa aongoze Kwa namna gani!

Mali zote ambazo zipo Chini ya Aridhi ya Tanzania ni za Watanzania, na kiongozi tunapomwamini kumpa nafasi ya kuongoza nchi, kazi yake sio kutuhutubia hotoba ya kutulemba Hadi tulegee, no, kazi kubwa ni kulinda Mali zetu, kwa kuwa Wapo viongozi ambao watakufa na kukutana na ghadhabu ya Mungu si Kwa sababu walifanya mabaya machoni pa wananchi, Bali waliiba Mali za nchi na kushindwa kulinda utajiri ambao Kwa huo ni haki yetu kila mmoja
 
Back
Top Bottom