Pre GE2025 Kwaheri Ndalichako, karibu Jimboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa huyu Ndalichako nimeumia sanaa, si hata wamgesema atapangiwa kazi nyingine, eti ametenguliwa lol.

Huyu waziri anafaa sana ktk wizara ya Elimu, bas ni vile serikali haijui kumtumia mtu, nimeumia, nampenda sana Ndalichako.

Yaan wanamtoa ndalichako, afu jenista, kairuki, na ummy wanabakii khaaah
 
Hawa maprofesa wa vyuoni warudi wakashike chaki. JPM aliwachukua wote kuwaingiza kwenye siasa akidhani wana tija, watafanya mambo kisayansi zaidi, kumbe ukiingia kwenye mifumo unatakiwa uache akili zako, elimu yako na uwezo wako utumie akili za wateuzi wako.
 
Ki gentleman au sio, ma thesis by dissertation tupa kule
 
Kweli
 
Umeongea mengi sana lakini nguvu yao iko kwenye "mwanya" wa katiba!
 
Watakufa si kitambo. Mungu atawaua!
 
Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF, lakini bila shaka kiwango chako hakikuridhisha. Ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka .

Tunakutakia Kila la heri huko uendako
Kosa lake ni kutokuwa chawa. Alipiga kimya ! All in all. Yuko vizuri amejenga , ana eneo kubwa sana fenced njia ya kwenda Goba..... vinamtosha. Apumzike ushetani wa CCM. Amtafute mungu sasa.
 
Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF, lakini bila shaka kiwango chako hakikuridhisha. Ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka .

Tunakutakia Kila la heri huko uendako
Na ambavyo hajui kuongea imemkata tayari πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Pia Kuna yule Katambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…