Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.

Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.

Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.

Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.
 
Tulia bila kuiba kura hushindi
 
Kwa kweli mheshimiwa sugu asichome pesa zake kwenye kampeni. Iwe kwa halali au wizi wa kura, tulia lazima arudi bungeni. Chama dola cha ccm hakiwezi kumwacha spika wake aangushwe. Watahonga kila kaya na watatumia polisi.
Yani afee beki afe kipa sugu hawezi kutangazwa
 
Siku hiyo hakikishen hesabu mkononi na kura zinalindwa kwa nguvu zote, ile team ya goli la mkono iko kazini
Mkuu raia wa tz si wa kuwaamini,mbowe na sugu walipowekwa ndani walidhani raia wataingia mtaani. Sugu alidhani mbeya kitanuka, lakini wakaweka mkwara wa askari watu wakanywea. Ndicho kitakachotokea. Ccm linapokuja suala la kubadili matokeo hawana aibu wala maridhiano
 
Hapo pagumu, labda jimbo ligawanywe, Sungu agombee tofauti na Tulia. Kinyume chake hatoboi.

Tena sio Sugu peke yake, Mama samia anacheza kete amazing sana nyanda za juu kusini, 2025 inaweza kuwa kijani tupu.

Ukanda huo ulisahaulika sana, ni wazi kuwa Mama Samia najenga njia ya kuufanya kuwa karata adhimu ya CCM 2025. Muda utaongea.
 
Kwa kweli mheshimiwa sugu asichome pesa zake kwenye kampeni. Iwe kwa halali au wizi wa kura, tulia lazima arudi bungeni. Chama dola cha ccm hakiwezi kumwacha spika wake aangushwe. Watahonga kila kaya na watatumia polisi.
Yani afee beki afe kipa sugu hawezi kutangazwa
Ndiyo tunavyotaka kuonyeshana misuli ili mradi wasiingize mitutu na siku hiyo vituo vya polis vifungwe tu.
 
Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.

Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.

Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.

Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.

Wenzako wanamwambia sugu asipoteze pesa zake, wewe unasema tena kwaheri??
 
Hapo pagumu, labda jimbo ligawanywe, Sungu agombee tofauti na Tulia. Kinyume chake hatoboi.

Tena sio Sugu peke yake, Mama samia anacheza kete amazing sana nyanda za juu kusini, 2025 inaweza kuwa kijani tupu.

Ukanda huo ulisahaulika sana, ni wazi kuwa Mama Samia najenga njia ya kuufanya kuwa karata adhimu ya CCM 2025. Muda utaongea.
Miaka yote ccm haijawahi kuwa radhi kuachia jimbo kirahisi bali wanazidiwa nguvu na wananchi.

Ccm haijawahi kulala usingizi linapokuja suala la kushinda viti
 
Hapo pagumu, labda jimbo ligawanywe, Sungu agombee tofauti na Tulia. Kinyume chake hatoboi.

Tena sio Sugu peke yake, Mama samia anacheza kete amazing sana nyanda za juu kusini, 2025 inaweza kuwa kijani tupu.

Ukanda huo ulisahaulika sana, ni wazi kuwa Mama Samia najenga njia ya kuufanya kuwa karata adhimu ya CCM 2025. Muda utaongea.
Usisahau pia Sugu ni kijana pendwa sana wa Mama, so hiyo mechi kali sana, time will tell
 
Mafuriko yaliyotokea uyole ya kati hapa,waathirika wote wa mafuriko wamepewa mahindi debe mbili mbili na godoro foot 2 na huyu Tulia...sasa wapiga kura ndo hawahawa maskini....sa itakuwaje? Sijui labda
 
Back
Top Bottom