Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

Narudi tuu kukwambia ,zama za hadithi zimepita tunataka matokeo..

Uje umuulize Sugu kwamba akuoneshe Cha maana alifanya Kwa miaka 10 ya ubunge wake hapo mbeya then ulinganishe na Miaka 5 ya Tulia..

Ukabila peleka kwenu
Hizo hekaya za Abunuasi kawaambie wezako kina Kigwangala
 
Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.

Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.
Labda mchane mbeleko ya kijani aliyobebewa
 
Mafuriko yaliyotokea uyole ya kati hapa,waathirika wote wa mafuriko wamepewa mahindi debe mbili mbili na godoro foot 2 na huyu Tulia...sasa wapiga kura ndo hawahawa maskini....sa itakuwaje? Sijui labda
Nyie ndio muwaelimishe ili wajitambue
 
Narudi tuu kukwambia ,zama za hadithi zimepita tunataka matokeo..

Uje umuulize Sugu kwamba akuoneshe Cha maana alifanya Kwa miaka 10 ya ubunge wake hapo mbeya then ulinganishe na Miaka 5 ya Tulia..

Ukabila peleka kwenu
Kwetu ni hapa hapa Mafiati sasa nifanyeje
 
Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.

Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.

Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.

Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.
Sijui kwanini Mr Two anatuma chawa wazubaifu kama wewe
 
Kuna watu wanadai ccm haiwezi kubali spika apigwe chini na upinzani nawakumbusha Mwanza waziri wa mambo ya ndani alipigwa chini yani bosi wa mapolisi alipigwa chini sembuse huyu ambaye hana command kwa mapolisi
 
Watu wengine bado wana mawazo ya karne ya 19 ya jiwe
 
Back
Top Bottom