Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.

Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.

Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.

Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.
nyinyi wanyakyusa ni wanafiki kama wahaya.roho zenu za kinafiki zitawapeleka pabaya.kaeni na ukabila wenu na muda utasema.
 
Mkiletewa mgombea mwingine Kutoka CCM tofauti na Betina naamini mtamchagua!!!
 
nyinyi wanyakyusa ni wanafiki kama wahaya.roho zenu za kinafiki zitawapeleka pabaya.kaeni na ukabila wenu na muda utasema.
Potelea pweeete sisi tunachotaka ni kumrudisha kwao huyo ZENA
 
Sugu mwambieni akagombee songwe, Hilo Jimbo lipo ktk plan za CCM Kwa gharama yoyote Ile hatuwezi kukubali spika atolewe nishai na rapa.
Wananchi hawachagui Spika wa Bunge,

Wananchi wanachagua mbunge, kupeleka HOJA za wananchi jimboni Ili zipate ufumbuzi.

Usijisahau.
 
Wananchi hawachagui Spika wa Bunge,

Wananchi wanachagua mbunge, kupeleka HOJA za wananchi jimboni Ili zipate ufumbuzi.

Usijisahau.
Tunashauri kwa wema tu, sugu anaposibility ya kupata songwe kuliko mbeya, mkumbuke CCM ndo Sisi Kwa makila kitu. Kama atafosi kugombea mbeya asilete kelele za kuibiwa Kura.
 
Haaaaah Hacha kumdanganya kamanda Sugu aendelee na harakati zingine Mbeya hatoboi
 
Tunashauri kwa wema tu, sugu anaposibility ya kupata songwe kuliko mbeya, mkumbuke CCM ndo Sisi Kwa makila kitu. Kama atafosi kugombea mbeya asilete kelele za kuibiwa Kura.
Kwani kabla ya jiwe kutuchagulia huyu Tulia miaka ya nyuma ccm walikuwa hawaibi?
 
Elimu tosha
Tunapoandika KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA,

Spika na Mawaziri, wasitokane na Wabunge,

Pia tunaidai HAKI ya Mgombea HURU, maana ni HAKI kikatiba ilominywa.
 
Ng'ombe ni baba yako na mama yako waliokuzalia kwenye mkesha wa
Ng'ombe ni baba yako na mama yako waliokuzalia kwenye mkesha wa mbio za mwenge.
kkhiyo
Kugombea kupitia upinzani ni sadaka hasa, si wengi wenye uwezo wa kujitoa sadaka. Unaweza kugombea, ikawa ndiyo njia yako ya kwenda jela, ni wangapi wapo tayari kwa hilo?

Wachache walio tayari kuyabeba hayo madhira waendelee kugombea kuoitia upinzani.
unataka kusema kwa mbeya hakuna mtu mwingine mwenye uwezo sawa na sugu
 
Battle ya Sugu na Tulia kali sana, na kwa trend ya politics ambayo tunaenda nayo sasa namuona kabisa Tulia ana wakati mgumu!! Ngoja tuone hizo tarehe 21 (Uzinduzi mikutano ya CDM) na tarehe 25 (Ujio wa TAL) utaleta nini
Kipindi kile cha uchaguzi 2020 kweli Tulia alikuwa na wakati mgumu na ninathubutu kusema alipitishwa kwa lazima lakini kwa sasa Tulia ana nvuto na kwaanayo yafanya bora Tulia 100% kuliko Sugu
Kwa sasa Sugu amepoteza mvuto awezi kumshinda Dr Tulia wala tusidanganyane huo ndio ukweli mchungu ni sawasawa na Msingwa Iringa ule ushawishi aliokuwepo nao umeshaisha
 
Ng'ombe ni baba yako na mama yako waliokuzalia kwenye mkesha wa mbio za mwenge.
nimecheka sana , moja imethibitisha uwezo mdogo sana wa akili ulionao, CHADEMA ni chama cha wananchi , hapo mbeya mjini wapo wanachama wengi tu wenye uwezo wa kugombea ubunge na nafasi nyingine kupitia chama chao, na hiyo ni haki yao , akili ndogo uliyonayo na ufinyu wa kufikiri vikisindikizwa na njaa kali uliyonayo vinakwambia SUGU ndiye mtu pekee mwenye hatimiliki ya jimbo la mbeya mjini , jitahidi sana kuficha upofu wa mawazo ulionao na ukitumia kichwaa kufikiri baadda ya kutumia matako kufikiri , wewe ni nani wa kuwapangia CHADEMA kiongozi wao ,
 
Back
Top Bottom