Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

Kuna watu wanadai ccm haiwezi kubali spika apigwe chini na upinzani nawakumbusha Mwanza waziri wa mambo ya ndani alipigwa chini yani bosi wa mapolisi alipigwa chini sembuse huyu ambaye hana command kwa mapolisi
Unaweza fananisha waziri na mkuu wa mhimili?
 
Kwa akili yako hata huo mhimili hata kama hatakiwi na wapigakura wake ndiyo alazimishe?

Sisi wana Mbeya hatumtaki huyo Tulia
 
Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.

Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.

Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.

Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.

Chadema asimame kijana mwingine tupate mawazo mapya
 
Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.

Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.

Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.

Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.
Ngumu hii🤣🤣🤣
 
hapo mbeya mjini hakuna mwanachama mwingine wa chadema mwenye uwezo wa kugombea ubunge lazima awe sugu , kama ni hivyo basi wote nyie hapo mbeya ambao ni wanachedema ni ng'ombe , yaani aende bungeni arudi tena aende huyohuyo wengine ni kushabikia tu huu utakuwa ni ujinga, na umenikumbusha jambo demokrasia ndani ya chadema lilikuwa ni tatizo na likiendelea hivo basi chama hakifai
 
Ng'ombe ni baba yako na mama yako waliokuzalia kwenye mkesha wa mbio za mwenge.
 
Hapo pagumu, labda jimbo ligawanywe, Sungu agombee tofauti na Tulia. Kinyume chake hatoboi.

Tena sio Sugu peke yake, Mama samia anacheza kete amazing sana nyanda za juu kusini, 2025 inaweza kuwa kijani tupu.

Ukanda huo ulisahaulika sana, ni wazi kuwa Mama Samia najenga njia ya kuufanya kuwa karata adhimu ya CCM 2025. Muda utaongea.
Mbeya mjini, Iringa mjinj, Tunduma, Njombe mjini, kwenye uchaguzi hata wenye haki 50%, CCM hawatoboi.
 
Back
Top Bottom