Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

Upo sahihi sana ila sema tu baadhi ya watu bado wapo kwenye njozi za Magufuli kuwa kila uchaguzi ni lazima ccm ishinde.
Battle ya Sugu na Tulia kali sana, na kwa trend ya politics ambayo tunaenda nayo sasa namuona kabisa Tulia ana wakati mgumu!! Ngoja tuone hizo tarehe 21 (Uzinduzi mikutano ya CDM) na tarehe 25 (Ujio wa TAL) utaleta nini
 
Mkuu raia wa tz si wa kuwaamini,mbowe na sugu walipowekwa ndani walidhani raia wataingia mtaani. Sugu alidhani mbeya kitanuka, lakini wakaweka mkwara wa askari watu wakanywea. Ndicho kitakachotokea. Ccm linapokuja suala la kubadili matokeo hawana aibu wala maridhiano
umeandika ukweli mtupu
 
Kwa sasa mawazo ya Jiwe yashatupwa kwenye dust bin ya kuwalazimisha watanzania wafuate mawazo yake.
Mimi ni CCM, ila sijawahi kuwa upande wa jamaa na akina Polepole wake, walitaka kuturudisha miaka 100 nyuma, Mtanzania yeyote ambaye wananchi watamuona anafaa ana uwezo wa kuongoza nchi hii, thats my belief, lets see Mama atatupeleka wapi
 
Mafuriko yaliyotokea uyole ya kati hapa,waathirika wote wa mafuriko wamepewa mahindi debe mbili mbili na godoro foot 2 na huyu Tulia...sasa wapiga kura ndo hawahawa maskini....sa itakuwaje? Sijui labda
Babu ondoa mawazo ya karne ya 19 kwa sasa watu tuna agenda yetu na naamini wana ccm wenye mawazo mgandp hawataamini macho yao.
 
Chadema na JF ni Chanda na Pete! Ukweli ni kuwa Tulia hata bila kupiga kampeni anashinda Mbeya mjini asubuhi na mapema!
 
Mimi ni CCM, ila sijawahi kuwa upande wa jamaa na akina Polepole wake, walitaka kuturudisha miaka 100 nyuma, Mtanzania yeyote ambaye wananchi watamuona anafaa ana uwezo wa kuongoza nchi hii, thats my belief, lets see Mama atatupeleka wapi
Nakuunga mkono kama mwanansiasa mkomavu
 
Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.

Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.

Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.

Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.
Hakuna moumbavu atakayemchagua Sugu wewe,Mbeya tunataka maendelea sio porojo.
 
Huyu maza aliachie jimbo alivamia Lina wemyewe ...akitaka ubunge akagombee dodoma mjini...naoo si guarantee.

Mama Samia kama kweli umeamua haki bin haki CCM harudi mtu.
 
Labda kama wewe kwenu ni umalila
Narudi tuu kukwambia ,zama za hadithi zimepita tunataka matokeo..

Uje umuulize Sugu kwamba akuoneshe Cha maana alifanya Kwa miaka 10 ya ubunge wake hapo mbeya then ulinganishe na Miaka 5 ya Tulia..

Ukabila peleka kwenu
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Battle ya Sugu na Tulia kali sana, na kwa trend ya politics ambayo tunaenda nayo sasa namuona kabisa Tulia ana wakati mgumu!! Ngoja tuone hizo tarehe 21 (Uzinduzi mikutano ya CDM) na tarehe 25 (Ujio wa TAL) utaleta nini
Mkuu karibu sana Mbeya maana siku zinavyokwenda speed naiona Mbeya ikishe upya.

Wana mbeya tutarudi kwenye afya zetu maana sasa tunaishi kwa amani bila hofu
 
Back
Top Bottom