Tulia bila kuiba kura hushindiKufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.
Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.
Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.
Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.
Kwa kweli mheshimiwa sugu asichome pesa zake kwenye kampeni. Iwe kwa halali au wizi wa kura, tulia lazima arudi bungeni. Chama dola cha ccm hakiwezi kumwacha spika wake aangushwe. Watahonga kila kaya na watatumia polisi.Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.
Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.
Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.
Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.
Mkuu raia wa tz si wa kuwaamini,mbowe na sugu walipowekwa ndani walidhani raia wataingia mtaani. Sugu alidhani mbeya kitanuka, lakini wakaweka mkwara wa askari watu wakanywea. Ndicho kitakachotokea. Ccm linapokuja suala la kubadili matokeo hawana aibu wala maridhianoSiku hiyo hakikishen hesabu mkononi na kura zinalindwa kwa nguvu zote, ile team ya goli la mkono iko kazini
Ndiyo tunavyotaka kuonyeshana misuli ili mradi wasiingize mitutu na siku hiyo vituo vya polis vifungwe tu.Kwa kweli mheshimiwa sugu asichome pesa zake kwenye kampeni. Iwe kwa halali au wizi wa kura, tulia lazima arudi bungeni. Chama dola cha ccm hakiwezi kumwacha spika wake aangushwe. Watahonga kila kaya na watatumia polisi.
Yani afee beki afe kipa sugu hawezi kutangazwa
Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.
Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.
Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.
Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.
Miaka yote ccm haijawahi kuwa radhi kuachia jimbo kirahisi bali wanazidiwa nguvu na wananchi.Hapo pagumu, labda jimbo ligawanywe, Sungu agombee tofauti na Tulia. Kinyume chake hatoboi.
Tena sio Sugu peke yake, Mama samia anacheza kete amazing sana nyanda za juu kusini, 2025 inaweza kuwa kijani tupu.
Ukanda huo ulisahaulika sana, ni wazi kuwa Mama Samia najenga njia ya kuufanya kuwa karata adhimu ya CCM 2025. Muda utaongea.
Usisahau pia Sugu ni kijana pendwa sana wa Mama, so hiyo mechi kali sana, time will tellHapo pagumu, labda jimbo ligawanywe, Sungu agombee tofauti na Tulia. Kinyume chake hatoboi.
Tena sio Sugu peke yake, Mama samia anacheza kete amazing sana nyanda za juu kusini, 2025 inaweza kuwa kijani tupu.
Ukanda huo ulisahaulika sana, ni wazi kuwa Mama Samia najenga njia ya kuufanya kuwa karata adhimu ya CCM 2025. Muda utaongea.
CCM ni wahuni (In Polepole voice)Miaka yote ccm haijawahi kuwa radhi kuachia jimbo kirahisi bali wanazidiwa nguvu na wananchi.
Ccm haijawahi kulala usingizi linapokuja suala la kushinda viti