Kwaherini

Kwaheri mama.

It is too bad that hatuwezi kuingilia maamuzi yako. Lakini, kama ingelipasa tungelikushauri urudishe moyo wako nyuma. Bado wahitajika humu Mkuu....

Anyway, tutakutana kwa Mtogole.

Kujiondoa JF yakupasa usitumie tena kifaa chenye internet, lazima utajiroga na kuingia tu.......

Kwaheri Mama, all the best.
 
Tutakumis Ila tunakuombea dua kama kuna jambo limekutokea mungu akuepushe nalo
 
Sijaelewa vizuri, unaaga kupost na kuanzisha nyuzi au ndio unanawa kabisa hata ile kuchungulia JF?

Kuna wengine waliaga ila ukienda kwenye profile zao last seen iko updated kila siku wanachungulia JF.

Nikutakie kustaaf kwema kutumika JF
 
Jitahidi ubadili mwandiko ukija na Id mpya
 
Katika wadada ninaowakubali na kujifunza mambo mengi muhimu kupitia kwao basi wewe dada
Sky Eclat ur my number one,sitaki kuamini kama ni kweli unaaga humu,tutaandamana ili kukushawishi ubadili huo uamuzi wako.
I will be your number one. Dont woryyyy
 
[emoji54][emoji54][emoji54]
 
Nahisi simu yako imeshikwa na mtu mwingine sio wewe tunayekufahamu!!!
 
Subiri kwanza mpaka bashite atoe vyeti.
Au hujafahamu yupo hatua za mwisho kuvikamilisha?.
 

wasalimie huko China unapoenda kuolewa.
 
duh jamani.
Tutakumisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…