Kwaherini

Kwaherini

Kwa nini lakini?
Usiondoke bhana kuna watu wanajifunza mengi humu kupitia wewe haswa mimi
Ombi langu unaweza ukatumia hata mda wako wa ziada kuingia humu
Nadhani hakuna majukumu ya kukubana kiasi hicho kushingwa kuingia Jf
Kama ilivyo kutumia Whatsap, Instagram n.k
 
Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.
umeamua kubadili ID sio
 
Ntakumiss sana
 
Wish you the best of this beautiful and wonderful world! Stay alive!
 
Honestly, this is very unfair.

Kwa kipindi ambacho utakuwa huna nafasi, basi ungebaki kimya tu. Nina uhakika utapata nafasi siku za usoni na kurudi tena.
 
Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.
Mkuu, usije ukaenda halafu ukarudi kugonga hodi kama nyu memba. Wengi wameshafanya hivyo ili kuifaidi ID mpya
 
Japo ni hudhuni lakini inabidi wengine waondoke wengine waingie, nipo njiani pia kuondoka nakutakia kila la kheri ndugu yangu
 
Back
Top Bottom