Lyetu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 1,268
- 3,429
"Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu