Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Daaaah, kama ni hivi then degree ni feki🌚🌚Certificate sidhani kama ni zile za kusoma kabisa. Nafikiri labda ni certificate zile za kuhudhuria makongamano na semina ambazo baadae unapewa certificate.
Hapo sina utaalam Mkuu, huwa zinakuwa miaka mingapi?Kuna LLB ya miaka 3 Tanzania ?.
Hizo Diploma zake, inakuaje ni za Mwaka Mmoja Mmoja ??
Miaka 4 Mkuu.Hapo sina utaalam Mkuu, huwa zinakuwa miaka mingapi?
Huyo elimu yake ni ya Kuunga unga aka ya mashaka aka ya hapa na pale.Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi.
- Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini!
- Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti.
- Tatizo linakuja kwenye miaka, yaani jamaa wakati anasoma degree, ndio alisoma cheti kwenye mambo yake kubeti, na ndio alikuwa akisoma diploma ya Journalism.... vyote kasoma kati ya 2007 - 2010. Au ndio vyeti vya onlaini?🤣🤣🤣
- Tanzania of Journalism ndio chuo cha wapi hiki tena wakuu?🤣🤣
Aloo pamoja na kuedit bado jamaa hasaidiki, maji yapo shingoni🤣😂😂😂.
Bunge si hata mnipe hiyo ajira, wallah sitafanya makosa kama hayo
View attachment 3352749
UD na SAUT ni zaidi ya miaka mitatu. Vyuo vingine ni mitatuKuna LLB ya miaka 3 Tanzania ?.
Gwajima kamwambia ponjoro akae kwa kutulia otherwise atamsambalatisha vipande vipande....Jana alikuwa na Masters ila leo ana Degree masters imeyeyuka.Tukilivalia njunga kesho watabadilisha na kuweka CV wakiandika :mwenyeketi wa sport pesa 2015-2025
2007 - 2010Watanzania Wote mlosoma LLB Tumaini University ,2007-2010... Huyu MTU alikuwepo kweli??.
LLB ya miaka 3 ?.