Kwahiyo Dua za Yanga ni za upande mmoja tu, Waluteri na Wakatoliki au hata Mwamposa hawamo?

siku zote wamekuwa wadini sana, wajinga sana hawa. naombea wafungwe tu. kwa hiyo hapa ndio kuna siku watataka watu wanunue card za uanachama, si itakuwa sawa na kununua card za hamas tu.
 
siku zote wamekuwa wadini sana, wajinga sana hawa. naombea wafungwe tu. kwa hiyo hapa ndio kuna siku watataka watu wanunue card za uanachama, si itakuwa sawa na kununua card za hamas tu.
Wewe wakuja huelewi historia ya Simba na Yanga.

Nyerere kafanyiwa sana visomo na wazee wa Tanu ambao ukanda wa Dar majority ni waislamu.
 
Watu wengi hawafaham ,, ukweli ni kwamba Timu za Simba na Yanga ni za Kariakoo na ilivyo Kariakoo au Pwani nzima ni ya waislam by origin.

Nyie wa Mwakaleli ipo timu yenu ya kuit1a Tukuyu Stars ,,. Shangilia hiyo Kama utaona hizo dua huko.
 
Hizi dini zilizoibukia mashariki ya kati, hasa hii iliyoanzishwa na warlord ni janga kwa dunia.

Kila inaposhamiri, amani hutoweka/kupungua sana.

Waafrika bado tuna nira ya ukoloni shingoni.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mangungu na wazee wa Simba walipofanya dua kama hii ya kuiombea Simba mbona hukuja na uzi?
 
Mangungu na wazee wa Simba walipofanya dua kama hii ya kuiombea Simba mbona hukuja na uzi?
 
kwahiyo yanga ni ya kiislam?
Am Christian, lakini Wakristo wengi ni kama wehu.

Misikiti haijawahi kumiliki timu lakini kanisa lilikuwa linamiliki timu madaraja tofauti.

Catholic Chang'ombe walikuwa na timu kali sana inaitwa ujirani mwema.

Father Kamili Kiwalani alianzisha timu ya Vatican ambayo wanachama walikuwepo mpaka waislamu na wachezaji waislamu.

Ethiopia ile Saint George ni timu ya kanisa.

Tupunguze nongwa za kipumbavu, ukienda Roma ishi kama Waroma, kwahiyo Simba na Yanga kwa asili ni timu za waswahili wa Dar ambao majority ni waislamu.
 
siku zote wamekuwa wadini sana, wajinga sana hawa. naombea wafungwe tu. kwa hiyo hapa ndio kuna siku watataka watu wanunue card za uanachama, si itakuwa sawa na kununua card za hamas tu.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ofcourse mambo mengine ni kuyaacha yapite tu kuna mila na tamaduni huwezi kubadikisha unless unataka kuwagawa watu kwa mfano leo nipande dar express kisa mimi muislamu niwaambie watoe kwaya zao au wale wachungaji wanaopanda kutupigia makelele ,tuanze kuwakataa ,tuishi kwa kuvumiliana
 
Unaposema Waswahili unamaanisha Waislam?
 
Swadakta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…