FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mfano mzuri ni Wayahudi, wanasema wanamuani Mwenyezi Mungu lakini hawaamini kuwa Yesu, alayhi salaam, ni mtume wa Mwenyezi Mungu.Utamuaminije Mungu bila kuwaamini na aliowatuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano mzuri ni Wayahudi, wanasema wanamuani Mwenyezi Mungu lakini hawaamini kuwa Yesu, alayhi salaam, ni mtume wa Mwenyezi Mungu.Utamuaminije Mungu bila kuwaamini na aliowatuma?
Kwahiyo unaamini mkristo akifa huku anaamini Yesu ni mtume na sio Mungu kwasababu Mungu ni mmoja tu na hafanani na chechote hukumu yake ni ipi?Hiyo ni Suratul Maida aya ya tano. Qur'an 5:5.
Hiyo ni kufuru Kiislam, hukumu yake ni moto tu.Kwahiyo unaamini mkristo akifa huku anaamini Yesu ni mtume na sio Mungu kwasababu Mungu ni mmoja tu na hafanani na chechote hukumu yake ni ipi?
Sasa kwa point hiyo hauoni inapingana na suratul maida?Hiyo ni kufuru Kiislam, hukumu yake ni moto tu.
Lakini akiamini kuwa Muhammad ni Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu, huyo anakuwa ni Muislam na anasamehewa dhambi zote za kabla ya kushahadia , kuwa Muislam.
Al maidaNi sura gani umeinukuu?
Labda Maaskofu wa Kilokole, hakuna Askofu wa Roman Catholic anaweza kupata muda kuja kwenye vitu vya kipuuzi.Hapo wangeitwa maaskofu na wachungaji maombi yangekua kelele tu na kufokeana,ingechukua siku nzima
Roma si wanapenda kunyonya hazina,wao utawakuta kwenye mambo ya serikali tu,wapate ruzukuLabda Maaskofu wa Kilokole, hakuna Askofu wa Roman Catholic anaweza kupata muda kuja kwenye vitu vya kipuuzi.
ilikuwa ni ijumaa,ambayo ni siku ya waislamuAndiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.
Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.
Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, au Dini zao haziruhusu dua michezoni?
Naomba kuwasilisha
Hakuna siku ya tabaka fulani, zote ni siku za Mungu tuilikuwa ni ijumaa,ambayo ni siku ya waislamu
Kwa nini hawakufanya na Jumapili??ilikuwa ni ijumaa,ambayo ni siku ya waislamu